Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Namaanisha pm binti
Nani akuguse?? honey
Nimeishapanda basi nipo hapa pm lakini hautokelezei......ww hivi nani asioujua mziki wa mkeo?
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namaanisha pm binti
Nani akuguse?? honey
Anaitwa siti mtemvu.
Nimeishapanda basi nipo hapa pm lakini hautokelezei......ww hivi nani asioujua mziki wa mkeo?
true...siti mtemvu wamembeba tu...haya mashindano hayana mvuto tena wanayachakachua sana
Duh! Mtemvu huyu huyu wakala wa mahg uarabuni? Napenda kujua alikuwepo ukumbini kumshuhudia bintiye?
Le mutuz aliandaa ya Ilala, na aloshinda anaundugu na Adam Mtemvu nadhani ni mwanae mkuuMiss Temeke aliandaa Le big show? Au nani wa ccm aliandaa? Maana Mtemvu kafanana na you know ha ha ha ha.
kachukua taji Dada mmoja hivi toka ufaransa
haa hivi unamfahamu kiwatengu ama unamsikia.....ubodigadi wake n wa kutiliwa mashaka.
kachukua taji Dada mmoja hivi toka ufaransa
Sura nzito kajibu out of question kwahyo kifaransa ndo kime mpa ushindi wenye vigezo wote wameachwa miss Tanzania nowdays haina mvuto kila mwaka inazidi kupoteza mvuto kubebana kila mahali Ludenga aachie na wengine walete mabadiliko mapya
yes huyo huyo
siti abbas mtemvu
Nadhani nyingine anaenda kulipa deni la patel kwanza.
mashaka ya nini tena, demba mimi kuwa na wewe hapa usiku huu ni nafasi yakipekee sana
Baba wakala, mtoto mfaransa lzm mwaka huu tufanye mambo miss dunia, hongera binti mbunge