Sura nzito kajibu out of question kwahyo kifaransa ndo kime mpa ushindi wenye vigezo wote wameachwa miss Tanzania nowdays haina mvuto kila mwaka inazidi kupoteza mvuto kubebana kila mahali Ludenga aachie na wengine walete mabadiliko mapya
yule mhindi nahis wamemnyima kuogopa maneno ya watu km mwaka 2007alivyoshindaga richa adhia ila kiukweli alijibu swali vzr hata richa mwaka wake nakumbuka alijibu swali vizuri sana ndo maana alipewa
unanchekesha usikuusiku
Ohooo basi naomba asifike hapa
Mrembo mmoja sijajua jina lake amejibu swali kwa kiingereza kibovu mithili ya kile kilichozungumzwa na wagombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki mwaka 2011.Aliulizwa swali kuhusu umuhimu wa sekta ya utalii katika uchumi wa nchi,akasemaaa...The tourism sector contributes income about 16%...(aka-pause kidogo i.e.alisahau jibu,si unajua wamekariri?) then akaendelea...contributes income about 16% "exchange foreign"....yaani chochote alichosema kwa kizungu ni broken mwanzo mwisho
yule miss ilala alistahili kua miss tz kwa wale wote walioingia 5 bora yule siti lundenga ana maslahi nae....
kwanza kaulizwa anaweza kujibu kwa lugha gani?? akasema english..kilichonishangaza kajibu kwa kuchanganya na french ile peke yake hakustahili kua miss
huyu dada mnene jamani au macho yanguuuuu!!!
Haya poa
ha ha ha...hii ni ya siri ndani..lala tu.
kubalini matokeo lakin mjue,kuna some percent ya uchakachuzi
Mfano wa cheque umeandika million kumi wao wanatangaza milion 18 ..... duh full usanii