Miss Tanzania 2014 live Star TV

Miss Tanzania 2014 live Star TV

Sura nzito kajibu out of question kwahyo kifaransa ndo kime mpa ushindi wenye vigezo wote wameachwa miss Tanzania nowdays haina mvuto kila mwaka inazidi kupoteza mvuto kubebana kila mahali Ludenga aachie na wengine walete mabadiliko mapya

yule miss ilala alistahili kua miss tz kwa wale wote walioingia 5 bora yule siti lundenga ana maslahi nae....

kwanza kaulizwa anaweza kujibu kwa lugha gani?? akasema english..kilichonishangaza kajibu kwa kuchanganya na french ile peke yake hakustahili kua miss
 
yule mhindi nahis wamemnyima kuogopa maneno ya watu km mwaka 2007alivyoshindaga richa adhia ila kiukweli alijibu swali vzr hata richa mwaka wake nakumbuka alijibu swali vizuri sana ndo maana alipewa

Bora hawaja mchagua tuna taka weusi bana huyu miss wamempa upendeleo kila mahali
 
Mrembo mmoja sijajua jina lake amejibu swali kwa kiingereza kibovu mithili ya kile kilichozungumzwa na wagombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki mwaka 2011.Aliulizwa swali kuhusu umuhimu wa sekta ya utalii katika uchumi wa nchi,akasemaaa...The tourism sector contributes income about 16%...(aka-pause kidogo i.e.alisahau jibu,si unajua wamekariri?) then akaendelea...contributes income about 16% "exchange foreign"....yaani chochote alichosema kwa kizungu ni broken mwanzo mwisho

Mkubwa EALA ilifanyika april 2012,tatizo la lugha kwa tuliosoma st kayumba ni waalade.
 
yule miss ilala alistahili kua miss tz kwa wale wote walioingia 5 bora yule siti lundenga ana maslahi nae....

kwanza kaulizwa anaweza kujibu kwa lugha gani?? akasema english..kilichonishangaza kajibu kwa kuchanganya na french ile peke yake hakustahili kua miss

Wamemupa tu ingekua mtihani angefeli kwani pale ilikua mashindano ya lugha miss ilala ali deserve na Arusha kubebana kila mahali english aliongea mbovu eti kakimbilia kifaransa Ludenga awaachie na wengine kurudisha heshima ya mashindano
 
Hivi jamani Necta tungekua tunajibu kizungu then tunageuza nyuma tunaandika kitanganyika ili tueleweke zaidi endapo markers hawatoelewa kizungu si mjini maprofesors tungekua tunapigana vikumbo?

ndo maana pepar zimeandikwa fuata masharti, MISS WADANGANYIKA 2014
 
Back
Top Bottom