Watu wanakomea kusema miaka 19,18,23 hawavuki hapoo hhhhaaaaa kuna mdada namfahamu namsubiri nione miaka yakee aiseeee maana chuo alifukuzwa kisa umalaya
Aisee nimeona ana miaka 20 hhhhaaaa na sio.kwelii
Uwiiiii,naupenda huo wimbo mimi..oya shake body.....
Nashangaa miaka 18 jitu limekongoroka hatari...au ndo effects za kuanza kale kamchezo mapema???
Nasikia kuzimia........nipo nimekwama kwenye foleni kutokea hapa Mianzini na naelekea Kimandolu........na sioni dalili ya kuwahi.......
Huu mji wanatakiwa waweke TV za barabarani ili matukio kama haya yasitupite 😒😒😞
Jmn wadau wapenda ulimbwende kazi kwenu ndo muda wenyewe
Uwiiii,sinza hamna warembo jamani???
Hata kama ni kuanza haiwezi kuwa hivo mtoto anajulikana kabisa aisee wana daganya miss shinyanga mzuri aisee
Hata kama ni kuanza haiwezi kuwa hivo mtoto anajulikana kabisa aisee wana daganya miss shinyanga mzuri aisee
Wapo wawili au nimeona ni Marry Emanuel eee aisee Ludenga sidhan kama kawabakizaa
Naupenda piaaa,halaf jamani wapunguzahe kuvaa viatu virefu vinawashindaaa
rafiki yangu mmoja member wa jf, maarufu sana MMU namtakia
mafanikio, natumahi atapeperusha bendera ya TMK na JF.
May Godbless her
Nilitaka nikuite shoga angu nikaogopa saa hizi unampetipeti msukuma....
Jamani hii rangi ya star tv ndo ilivyo hata kwenu au ni tv yangu
Msukuma nimemlaza kinenani huku tunaangaliaaa wote