Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Hafu wanene mpiga picha kamvuta mfupi watu wameangua kicheko sio siri mamiss wa cku hizi wabaya
Jaman vanesa hako hilo Ta.ko kama kavaa zile tait
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hafu wanene mpiga picha kamvuta mfupi watu wameangua kicheko sio siri mamiss wa cku hizi wabaya
Hahahaa jaman miss sinza mbaya uwiii ana vigimbi ka katoka kupandisha milima uruguru
Star tv utazani wanatumia simu kuchukua picha.....
Startv wapo underquality siku zote....
Jaman vanesa hako hilo Ta.ko kama kavaa zile tait
Hahahaa jaman miss sinza mbaya uwiii ana vigimbi ka katoka kupandisha milima uruguru
Mwenyewe nimeshangaa wezere kama kajaladia vile
kwa nini mpnz?hakuna warembo?
Hata mimi wengine wamenichrkesha sana
Mwangalieee halichezii kama kuna kitu atakua kavaa taiti
Ila anaiga sauti ya lulu anavoongea nguo imekaa vzuri
Hhjjaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wasanii wakibongo wabadilike na ma playback jaman khaaa
Star tv utazani wanatumia simu kuchukua picha.....
Startv wapo underquality siku zote....
hata mimi nilifikiri ni lulu