Miss Tanzania 2014 live Star TV

Miss Tanzania 2014 live Star TV

Nguo ya Joketi aliovaa sasa iko poa naona na kampondondo kanaonekana kapo
 
Tyta njoo utuwekee picha basii
Aaargh picha si mnaziona kwa Tv
 
Last edited by a moderator:
Wengine hata kutembea hawaezi yani miss Tz ya sasa ni shiiida wanaleta ma miss bantu
 
Kutembea wanajibana kama wanahaja kubwa
 
Mwanao akiingia kwenye madude haya andika zero.
 
Hahaa yan star tv ingekua inaonyesha clear tungeona vioja zaidi...
 
Back
Top Bottom