Miss Tanzania 2014 live Star TV

Miss Tanzania 2014 live Star TV

Watu wanakomea kusema miaka 19,18,23 hawavuki hapoo hhhhaaaaa kuna mdada namfahamu namsubiri nione miaka yakee aiseeee maana chuo alifukuzwa kisa umalaya
Aisee nimeona ana miaka 20 hhhhaaaa na sio.kwelii

Ha ha ha ha.......Ngoja nikutafutie namba ya Lundenga umshtue..............
 
Nasikia kuzimia........nipo nimekwama kwenye foleni kutokea hapa Mianzini na naelekea Kimandolu........na sioni dalili ya kuwahi.......
Huu mji wanatakiwa waweke TV za barabarani ili matukio kama haya yasitupite 😒😒😞

inawezekana tulikua hiace moja mi nimeshukia kulugenzi nikaja kijenge juu
 
Hata kama ni kuanza haiwezi kuwa hivo mtoto anajulikana kabisa aisee wana daganya miss shinyanga mzuri aisee

Wapo wawili au nimeona ni Marry Emanuel eee aisee Ludenga sidhan kama kawabakizaa
 
Uwiiii,sinza hamna warembo jamani???

Halaf hawatembei kwa uhuru viatu vinawatesa aisrr hhhaaaa hebu angalia wanavyotembeaaa, warumi njoo nikuchagulie mchumba tatizo watakia washapitiwa na wazee wa humo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom