sasa high heels na kuogelea wapi na wapi?
sasa high heels na kuogelea wapi na wapi?
Hahahahaaaa uwiiiiii
Nashangaa miaka 18 jitu limekongoroka hatari...au ndo effects za kuanza kale kamchezo mapema???
me mwenyew inankera apah!!..afadhal itv miaka iliyopta huwa wako clear san..
Inaboa sana
Labda ndio hua wanaogelea nazo hizoo hhhaaa
Yaan leo mtu asipoanguka jukwaani ni bahatii
Umeona eeh,kizur jmn
Jamani hii rangi ya star tv ndo ilivyo hata kwenu au ni tv yangu
Namba 21 na 13 wamenivutia