Miss Tanzania 2014 live Star TV

Hahahaa jaman miss sinza mbaya uwiii ana vigimbi ka katoka kupandisha milima uruguru
 
Amjui tu nyie alichonifunza Mama usiku mchana mnababwaja ushii zogoa zogoa....................
 
Huyo Miss Sinza ana mdomo mpanaa hahaa asee wengine wapo wapo tu kutimiza idadi
 
Wasanii wakibongo wabadilike na ma playback jaman khaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…