Mwenyewe mwanzoni kumbe yeye hadi kutabasamu aache kumuiga mdogo ake kashakua mtu mzima
Hawawez imba live hhhaaa
Khaaaa yani vanessa alkuwa hachezesh ata midomo
Jokate kanenepaaa
Hafu kazidi kuwa mfupi
Wengine hata kutembea hawaezi yani miss Tz ya sasa ni shiiida wanaleta ma miss bantu
Labda ndio hua wanaogelea nazo hizoo hhhaaa
Hafu kazidi kuwa mfupi
Mi nipo hoi wanavyotembea tu kama wanaruka matope
Ni shida....bina nani anafaa umiss maaana ata sielewi area of concentration