Nguo ya Joketi aliovaa sasa iko poa naona na kampondondo kanaonekana kapo
Wameanza kuchambuliwa hao wanaopita mbele duuu mmmmhhhhh
Wameanza kuchambuliwa hao wanaopita mbele duuu mmmmhhhhh
Jokate kanenepaaa
Dii Marry alikua kapata presha hadi kapumuaaa aisee
Ni mzuri anafaa lake zone this time wana deserve kutoa mshindi
Hizo ni ARV
????????Hizo ni ARV
mkuu umejuaje hayo?
Kweli kabisa...Shinyanga naona safari hii mambo yanaweza kuwa mazuri ngoja tuone
Jamani nitafurah akiwa miss tz huyo wa karatu