Miss Tanzania 2014 live Star TV

Miss Tanzania 2014 live Star TV

Redd's Miss Tanzania top 5, Jihan Nadesh Siti Mtemvu Dorris Molel Narseen Abdul Lilian Kamazi
 
Mashindano hovyo kabisaaaaaa sijawahi ona hii loh hatari

Kila mwaka husemwa ni ovyo cha ajabu mwaka unaofuata wahudhuriaji, wafuatiliaji, wadhamini na washiriki pia hawakosekani
 
Hivi ukiambiwa uchague Lugha kati ya kiswahili na kingereza si unatakiwa uchague kati ya hizo mbili ? sasa kuleta Kifaransa Inahusu ?? Mfyuuuu Mashauzi.com , hujafata masharti ukishinda naandamana
 
Hivi hayo maswali huwa wanakalilishwa ama?

yah....wanakalilishwa.....si umeona yule aleulizwa swali la utalii, kakosea mara ya kwanza na alipprudia kujibu karudia statements zake ktk mpangilio ule ule n am nt sure ka ni expert kiivo kwenye mapato ya tz hadi ajue kua utalii unachangia 16%
 
nikimuona omary nyembo nakumbuka picha yake kabla haja mjini nacheka tu hapa
 
Back
Top Bottom