Miss Tanzania 2014 live Star TV

Miss Tanzania 2014 live Star TV

nifah kuna rafiki yangu nimemtumia sms kua Marry kapigwa chini,kanijibu akome hhhhaaaaa hivi Kim nana umelala lo
 
Last edited by a moderator:
Hapa nimeona kila kitu fake

Vazi la ufukweni mmmhhhhh feki
Nyimbo za kuingilia na kutokea za nje zoote especially Niger ... Hii ni fake
Lugha ya kujibia maswali ndo usiseme maana watu sasa wanachukulia English as normal language wanahamia kwenye lugha za mbali zaidi like French.
Kutoka washiriki 30 wanatolewa kwa vazi la ufukweni na vazi la Ubunifu linawatoa washiriki 25.

Shame on u.
 
Kabisaa yani wamenichefua wehuu awaaa
 
Mamaaa lile li baunsa nyuma ya Lundenga hahahaa kama hawajachakachua uoga wa nn???
 
Nimemsikia, legislation ndo nimejua wanakariri, maana alikuwa kila akikwama anaanza upya maelezo. Sasa hapo wanashindanishwa uelewa au kukariri?
 
Back
Top Bottom