Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Haha asante, mbona kavaa ivo au hana kioo home?
Chezea ustar wewe?na mwili wenyewe sasa mhhhh???Nisije sikiwa mie ngoja nikae kimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha asante, mbona kavaa ivo au hana kioo home?
Mfyuuuuuuu nmechukia ati ndio nn mamis suraa ka wanapuriza myoto mfyuuuuu
hahaha lamba ndimu
ndio ujue yuko vizur na kijeruman, kiarabu anajua uyo MISS TANZANIA WA LEO NASUBIRIA KUTANGAZWA KWAKE TU
Chezea ustar wewe?na mwili wenyewe sasa mhhhh???Nisije sikiwa mie ngoja nikae kimya
hahaha lamba ndimu
hahaaaaaa.....!!!
wa mwanza nini...?!!!
hapo chacha.....!!!
Ndugu yangu alikuja Mwanza kusoma chuo Clinical ofisa wee anavaa vinguo vifupi,uchangu usiseme akatimuliwaaa
Hapa nimeona kila kitu fake
Vazi la ufukweni mmmhhhhh feki
Nyimbo za kuingilia na kutokea za nje zoote especially Niger ... Hii ni fake
Lugha ya kujibia maswali ndo usiseme maana watu sasa wanachukulia English as normal language wanahamia kwenye lugha za mbali zaidi like French.
Kutoka washiriki 30 wanatolewa kwa vazi la ufukweni na vazi la Ubunifu linawatoa washiriki 25.
Shame on u.
majib yenyew vimekaririshwa afu knaongeza na milugha mingine isyoelewka apa..me naona kelele 2ndio nmeshanga....nmeona kama kakurupuka.