Miss Tanzania 2018: Miss Kinondoni, Queen Elizabeth aibuka mshindi

BARDIZBAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2017
Posts
5,259
Reaction score
10,078
Mshindi namba moja wa ulimbwende mkoa wa Kinondoni, Queen Elizabeth amejinyakulia na kutawazwa mshindi wa Miss Tanzania mwaka 2018 baada ya kuwashinda washiriki wengine 19. Mshindi huyo amezawadiwa gari na vitu vingine .

 
Aibu kubwa kwa kutoa zawadi gari USED.
 
habari wadau..

gari la mshindi wa diamond karanga ni zuri kuliko miss tanzania .

hii inamaanisha nini?

je diamond karanga ni kubwa kuliko miss tanzania
 
Cwek,ctaki,cpend

Hutak kuangalia tulia kama huna tv tulia kama hujickii tulia[emoji49]
mimi naangalia mpira muda huu dstv.. au unataka screenshots za magoli.. pimbafu...
 
Aibu kubwa kwa kutoa zawadi gari USED.
Kwasababu mamiss wenyewe ni 'Used'. Subiri baada ya miaka michache stori zao zitatoka kuwa mtu hakushindana kihalali. Bongo tambarare tu.
 
Shindano limekosa mwamko na walimbwende nao hawana mvuto kabisa
wasalaam!!

Dah mwaka huu ma miss tz
Hawavutii kabisa

Hata ctaman kuendelea kuangalia cpatii picha watu walio lipia elf 70 zao[emoji28]

Maoni yako mwalimu kashasha unadhan tunafel wap ????
 
watu mnamoyo mmekaa kutoa macho kuamgalia umiss mnaacha kuangalia mpira
 
Yaani muda wa kuuliza maswali nimegundua kwamba yule mshindi wa kwanza alikua lazima ameshamezeshwa.Mtu umeulizwa swali yaani hapohapo umeanza kujibu.Hata muda wa kujifikilia alikua hana.Seriously the whole thing was just staged.
 
Yaani muda wa kuuliza maswali nimegundua kwamba yule mshindi wa kwanza alikua lazima ameshamezeshwa.Mtu umeulizwa swali yaani hapohapo umeanza kujibu.Hata muda wa kujifikilia alikua hana.Seriously the whole thing was just staged.
Mange Kimambi alishammezesha Wema.
Ameyakariri tangu wiki jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…