Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi naangalia mpira muda huu dstv.. au unataka screenshots za magoli.. pimbafu...Cwek,ctaki,cpend
Hutak kuangalia tulia kama huna tv tulia kama hujickii tulia[emoji49]
Kwasababu mamiss wenyewe ni 'Used'. Subiri baada ya miaka michache stori zao zitatoka kuwa mtu hakushindana kihalali. Bongo tambarare tu.Aibu kubwa kwa kutoa zawadi gari USED.
wasalaam!!
Dah mwaka huu ma miss tz
Hawavutii kabisa
Hata ctaman kuendelea kuangalia cpatii picha watu walio lipia elf 70 zao[emoji28]
Maoni yako mwalimu kashasha unadhan tunafel wap ????
Ya Wema Sepetu na Mange Kimambi ! Mmmh!Yaani muda wa kuuliza maswali nimegundua kwamba yule mshindi wa kwanza alikua lazima ameshamezeshwa.Mtu umeulizwa swali yaani hapohapo umeanza kujibu.Hata muda wa kujifikilia alikua hana.Seriously the whole thing was just staged.
Mange Kimambi alishammezesha Wema.Yaani muda wa kuuliza maswali nimegundua kwamba yule mshindi wa kwanza alikua lazima ameshamezeshwa.Mtu umeulizwa swali yaani hapohapo umeanza kujibu.Hata muda wa kujifikilia alikua hana.Seriously the whole thing was just staged.