Miss Tanzania 2018: Miss Kinondoni, Queen Elizabeth aibuka mshindi

Background ya jina lake je lina uhalisia?
 
Yaani muda wa kuuliza maswali nimegundua kwamba yule mshindi wa kwanza alikua lazima ameshamezeshwa.Mtu umeulizwa swali yaani hapohapo umeanza kujibu.Hata muda wa kujifikilia alikua hana.Seriously the whole thing was just staged.
If u like be disappointed and if u like don't be disappointed
 
Lina uhalisia na huyo binti ni star Sana sema familia anayotoka Ina madiri Sana mpk ndoo mana humusikii mno kwenye vyombo vya Habari
 
Hovyo sana!!!sasa akienda Duniani kutuwakilisha si ukakasi..Tunapenda wawe na majina yakibantu japo moja...Sasa Queen Elizabeth ten!!!!
 
Weka picha ya Damond karanga..
 
Habari bila picha/videoclip ni takataka tu
 
Bora kuangalia mechi ya Taifa stars na Uganda marudio. Inanoga zaidi.
 
Msianzishe uzi kama huwezi kuweka picha...

Freebasics ishkuwa kero sasa.
 
ila mdada anatema yai hadi wenzake wakawa wanyongee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…