Hata mie naona atashinda kwa sbb pia ni mcheshi alafu Yuko fiti tuzid kumuombeaAtashinda!
Katka mamiss Tz waliopita huyu atatutoa kimasomaso wengi hamtaamini
Hahahahaaaaaaaaaaaa yan nimecheka hadi usingizi umeishaIla msema kweli mpenzi wa mungu....Huyu dada aamshi kabisa yaani hata kidogo kama swala rangi eti mweusi ni uongo kuna mademu kibao mitaani huku weusi na wanavutia fresh
Ila huyu hapana aiseee huyu aamshi kabisa mara ya kwanza kumuona linidhani simu yangu ina matatizo ya rangi aiseee nikaja kumuona tena kwenye tv mama yangu aamshi hata robo na nyie kina dada muwe na makini na hizo diet zenu eboooooo
We ni mkenya tuJamani mm naona miss Tanzania hapo anaonekana kama mtu aliyeugua kwa muda mrefu sasa ndio ana recover na hao ni marafiki walioenda kumjulia hali
Lundenga ni Nani ?ni ngumu sana kuitazama hii picha bila kumfikiria Lundenga
akae unamaanisha ashindwe?Hapa mtanzania lazima akae, kwa Sura hizi?
mratibu wa mashindanoLundenga ni Nani ?
Yeuwii hahahaIla msema kweli mpenzi wa mungu....Huyu dada aamshi kabisa yaani hata kidogo kama swala rangi eti mweusi ni uongo kuna mademu kibao mitaani huku weusi na wanavutia fresh