Miss Tanzania akiwa na walimbwende wenzake, je atawashinda?

Ila msema kweli mpenzi wa mungu....Huyu dada aamshi kabisa yaani hata kidogo kama swala rangi eti mweusi ni uongo kuna mademu kibao mitaani huku weusi na wanavutia fresh

Ila huyu hapana aiseee huyu aamshi kabisa mara ya kwanza kumuona linidhani simu yangu ina matatizo ya rangi aiseee nikaja kumuona tena kwenye tv mama yangu aamshi hata robo na nyie kina dada muwe na makini na hizo diet zenu eboooooo
 
Mungu nisamehe. Nilifundishwa kutazama mtu na kutafuta uzuri wake na si ubaya. Kwa minajiri hiyo hiyo nakiri kuwa Miss TZ 2016 ni mzuri ila hatoshi kuwakilisha warembo wa Tanzania. Roho yangu ilimkataa kwenye nafasi hiyo since day one kumuona. Kipumiii!!
 
Ila msema kweli mpenzi wa mungu....Huyu dada aamshi kabisa yaani hata kidogo kama swala rangi eti mweusi ni uongo kuna mademu kibao mitaani huku weusi na wanavutia fresh

Ila huyu hapana aiseee huyu aamshi kabisa mara ya kwanza kumuona linidhani simu yangu ina matatizo ya rangi aiseee nikaja kumuona tena kwenye tv mama yangu aamshi hata robo na nyie kina dada muwe na makini na hizo diet zenu eboooooo
Hahahahaaaaaaaaaaaa yan nimecheka hadi usingizi umeisha
 
em acheni undazi bhana, kwani lini Tanzania ilishinda hayo mashindano tangu yaanze?! kama ndo hivyo hata huyo ameenda kusafisha macho tu huko washington kama mamiss waliopita, halafu wadada wengi wa Tanzania ni dizaini ya huyo dada, so mwacheni akawakilishe!!
 
Binafsi huwa siyashabikii hayo mashindano ya kuwaanika wasichana kama bidhaa.

Lakini kwa mtazamo wangu, kuna uwezekano mkubwa sana huyo mshiriki kutoka Tanzania kuwa Mshindi au kuwa miongoni wa washindi wa nafasi za juu katika hilo shindano.

Kwanini?
Kinachoamuaga mshindi ni Vigezo na Upekee tu. (Kwa sababu ni vitu vinavyoweza kupimika). Na wala huwa hawaangalii uzuri kwa sababu uzuri ni tafsiri ya mtu binafsi na wala sio jambo linaweza kupimika.
Vigezo ni vipi?
1/Urefu.
2/Wembamba.
3/Upeo.
4/Umaridadi.

Upekee ni upi?
1/Uasili.
2/Kipaji.
3/Utamaduni.
4/Utofauti.
 
Ila msema kweli mpenzi wa mungu....Huyu dada aamshi kabisa yaani hata kidogo kama swala rangi eti mweusi ni uongo kuna mademu kibao mitaani huku weusi na wanavutia fresh

Ila huyu hapana aiseee huyu aamshi kabisa mara ya kwanza kumuona linidhani simu yangu ina matatizo ya rangi aiseee nikaja kumuona tena kwenye tv mama yangu aamshi hata robo na nyie kina dada muwe na makini na hizo diet zenu eboooooo
Yeuwii hahaha
 
Back
Top Bottom