Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mnamaanisha nini?ni ngumu sana kuitazama hii picha bila kumfikiria Lundenga
Kwa sababu yeye ni mweusi na wao ni weupe?Jamani mm naona miss Tanzania hapo anaonekana kama mtu aliyeugua kwa muda mrefu sasa ndio ana recover na hao ni marafiki walioenda kumjulia hali
Yaani miss Tanzania kwa mwaka huu ni mkali kweli ,mpaka nimemkumbuka Basila Mwanukuzi.Hivi ni kweli huyu ndo miss wetu?
Watashinda jinsi walivyo jipanga hapo watanzania atakuwa wa 2