Miss Tanzania avuliwa kuiwakilisha Tanzania kwenye Miss World kutokana na utovu wa Nidhamu

Wadada mnavyopenda hela,,,Kuna mimba huwa hazimezewi p2.. ni sawa na umshauri k lyn ameze p2 kuzuia mimba ya mzee mengi
[emoji23][emoji23][emoji23]sio kwa kuchezea chance yake Kwa kitu muhimu hivo maisha au Kuna kitu zaidi ya mimba aisee
 
Kwanini Basila asiseme miss kabeba mimba matokeo Yake anatoa habari nusu ya kutengeneza speculation na kuishusha hadhi miss TANZANIA kwa kila mtu kuspeculate sababu hizo za utovu wa nidhamu.
Maana huyu miss alikuwa ameshajiandaa tayari like one month ago, so Cha mimba nimeshangaa
 
Nakwambia wamemjaza mimba na tena alikua ni mume wa wenyewe..nyakunyaku mkubwa adi akashtakiwa huko kwenye hiyo miss Tz yao..Sijui atakua ameflash au anayo bado..jinga sana hili limetutia aibu hata matumizi ya ndom pia hajuwii..
Mjinga huyu miss ka ni hivo mume wa mtu una mubebeaje mimba Hadi kyshiktakiwa kutakuwa na evidence tosha aisee. Dah katia aibu shule yake haijamsaidia, ka ni hivo acha apumzike tu mke kaenda kumwagia kitumbua chake miss world haendi na CV kajichafulia maskini na kuhairisha kote chuoni.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]sio kwa kuchezea chance yake Kwa kitu muhimu hivo maisha au Kuna kitu zaidi ya mimba aisee

Umiss huwa haudumu. Mamiss wote wanaonekana wamefanikiwa ni sababu wameolewa ama kuzaa na wanaume wenye hela.. sasa miss wa mwaka huu hajataka kupoteza muda.. kabeba mimba ya jamaa yake tajiri mapemaaa na yeye awe na uhakika wa maisha mazuri.

Matajiri wanapenda watotoo.. na yeye miss shule ameshamaliza na umiss ameshaupata.. kinachofata kuijaza dunia tu
 
Kwanini asingesubiri mpaka arudi amubebee hyo mimba maana alikuwa ardhi university akahairisha na mwaka mmoja, pia ma miss wenzake walikuja zaa baada ya kutoka kwenye mashindano, yeye kufukuzwa na kuvuliwa taji kumemtia doa maana ka ni kuzaa bongo hii wanaume wenye Hela huzalisha wanawake wengi bila kujali title. To me huyu kajiharibia flani hivi maana had mwezi uliopita alikuwa anajiandaa kabisa loh.
 
Tunaishi nako hapa Kijitonyama ndio maana siku hizi gari limepaki kwao kwenye michongoma
 
Yeye kasema hana taarifa rasmi
 
Huyo number mbili mbona havutii, nadhani shindalo la miss Tanzania lipate waandaji wapya tu chini ya basila amekuwa anatoa washindi wabovu na nilimuona akimpromote huyu mshindi wa pili probably ana interest naye.
Anavutia akili.
 
Una uhakika na hayo?
 
Hajamaliza chuo bado.

Yupo chuo kikuu Ardhi Kama sio mwaka wa pili ni wa tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…