Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna jamaa kanyimwa uroda hukoMbona wanazunguka zunguka hawasemi kafanya nini
Umeliona wapi[emoji848] ?Amependeza sana na hilo gauni hapo.
Juliana Rugumisa(Mwenye nguo ya rangi ya chungwa) 🤷♂️🤷♂️🤷♂️Mrembo anayeshikilia tajia la Miss Tanzania 2020 -2021, Rose Manfere, amevuliwa uwakilishi wa kuiwakilisha nchi katika mashindano ya Dunia.
Hatua hiyo imechukuliwa na kamati ya Miss Tanzania baada ya kugundua baadhi ya tabia za mrembo huyo ambazo zitakuwa kikwazo cha kufanya vizuri katika mashindano hayo.
Taarifa za Kuaminika ambazo Mtanzania Digital imezipata kutoka kwenye Kamati ya Miss Tanzania, zimeeleza kuwa:
"Mrembo ambaye anatakiwa kupata nafasi ya kuiwakilisha nchi anatakiwa awe na tabia njema kuanzia hapa nchi na kufuata kanuni na taratibu za mkataba wake nakwamba akikiuka kamati inatakiwa kuchukua hatua zinazostahili," kimeeleza chanzo hicho.
Aidha, kimeongeza kuwa, nafasi hiyo amepewa mshindi wa pili wa Miss Tazania 2020-2021 Juliana Rugumisa(Mwenye nguo ya rangi ya chungwa) ambaye kamati imeona ana faa kuwa mwakilishi wa taifa.
Shindano la miss World mwaka huu linatarajiwa kufanyika nchini Puerto Rico mwishoni mwa mwaka huu.
mwandishi mbona katuonesha kuwa huyomwenye gauni laUmeliona wapi[emoji848] ?
Uzi Hauna picha
Litakua gauni la kimiujiza[emoji4]mwandishi mbona katuonesha kuwa huyomwenye gauni la
Si kaamua kutuzingua wacha tuzinguane.Umeliona wapi[emoji848] ?
Uzi Hauna picha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si kaamua kutuzingua wacha tuzinguane.