Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Sababu wamezitoa, wanasema kamati ya Miss TZ huwa inakuwa na mkataba na miss mpaka atakapokabidhi taji mwakani kwa miss mpya.
Moja ya masharti wanayopewa no kuhakikisha anafanya kazi zote chini ya kamati hiyo.
Kama atapata matangazo au kazi yenye kuhusisha malipo, sababu yeye ni miss aliye chini ya uongozi kwa kipindi cha mwaka mzima, basi atahitajika kuwahusisha kamati ya Miss TZ ambao wanakuwa na percentage yao maana wao ndio wamemuibua na ndio Wana mkataba nae wa kufanya kazi.
Pia wamesema amekuwa anajihusisha kuzunguka kwenye clubs mbalimbali jambo ambalo ukiwa miss kwa kipindi cha mwaka haupaswi kufanya hayo Bali alipaswa kufanya shughuli za jamii kama kusaidia wazee, watoto, wajane, walemavu nk.
Sasa unakuta yeye anafanya mambo anavyotaka na wakimuonya amekuwa akikaidi maonyo na ushauri wa kamati inayomsimamia.
Unajua hata Ile stika ya miss TZ kwenye gari anaweza kuitoa baada ya kumaliza mkataba akikabidhi taji Ila kwa sasa Hana namna lazima azunguke ikiwa imebandikwa kwenye gari.
So in short wamewekeza mengine mengi pia. Binti anajua ana mkataba Ila tamaa na ujeuri anajiona ameshakuwa maarufu hataki wanaomsimamia wapate Chao wakati ndio wamempa umaarufu na wanategemea wafanye biashara kupitia yeye kwa muda wa mkataba.