Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Hivi huyu Kidoti kumbe naye kichwani ni bure kabisa, yani uzuri wote alionao leo kaja kama kinyago.

Hivi dada zangu mnaponya make up huwa hamjitazami kwenye kioo?
Am disappointed with Kidoti.
Joketi kachemsha mno hyo makeup kama kamwagiwa na hizo nywele sasa chah
 
Pamoja na madhaifu yote ila mangosha wamelipa pesa kuja kushangaa wanawake weupe,.
Hii ingefanyika Dar asingeingia mtu usawa huu.
Hongera uliyechagua hii event ifanyikie mwanza.
Jokate kaja jukwaani kuwaomba msimwangushe huyu MC kutoka Chato .
 
Hivi huyu Kidoti kumbe naye kichwani ni bure kabisa, yani uzuri wote alionao leo kaja kama kinyago.

Hivi dada zangu mnaponya make up huwa hamjitazami kwenye kioo?
Am disappointed with Kidoti.
Nywele alizoweka leo kichwani kwake zimemtowa vibaya sana!!ameonekana kama anaenda Halloween[emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hivi huyu Kidoti kumbe naye kichwani ni bure kabisa, yani uzuri wote alionao leo kaja kama kinyago.

Hivi dada zangu mnapofanya make up huwa hamjitazami kwenye kioo? Kulikuwa na ulazima gani wa Kidoti kuvaa hiyo minywele ya maiti kichwani?
Am disappointed with Kidoti.
Itakuwa ni marangirangi ya Star Tv
 
Kwa mtindo huu wacha wanaigeria washinde tuzo yaani mashindo ya tanzania nyimbo za nigeria
 
Hivi huyu Kidoti kumbe naye kichwani ni bure kabisa, yani uzuri wote alionao leo kaja kama kinyago.

Hivi dada zangu mnapofanya make up huwa hamjitazami kwenye kioo? Kulikuwa na ulazima gani wa Kidoti kuvaa hiyo minywele ya maiti kichwani?
Am disappointed with Kidoti.
Alikua anajipodoa bn.. Huoni amechelewa kuingia stejin. BTW nafikri ameingia na Mentality kuwa shez the most valuable host/celebrty kwa leo.
 
Tatizo wamilik Shindano km wenye timu ya Arsenal na kocha wao Wenga washabick hata mlalamike vp wenga afukuzwi maana wanachoangalia wao ni mapato na hii nadhan itachukua miaka ming kuito Mwanza waloingia ni weng sana na kiingilio ni kikubwa sana ivo watavuna Pesa nying sana tofaut na Dar ,bila kuangalia ubora wa shindano lenyewe,ivo Lundenga lazma aweke mizizi apo.
 
Mwanza hii ni mara yenu ya kwanza na ya mwisho[emoji48][emoji48]..shindano limepoa,huyo MC wa kiume hakuna kitu kabisa..bora wangemweka hata McPilipili
 
Tatizo wamilik Shindano km wenye timu ya Arsenal na kocha wao Wenga washabick hata mlalamike vp wenga afukuzwi maana wanachoangalia wao ni mapato na hii nadhan itachukua miaka ming kuito Mwanza waloingia ni weng sana na kiingilio ni kikubwa sana ivo watavuna Pesa nying sana tofaut na Dar ,bila kuangalia ubora wa shindano lenyewe,ivo Lundenga lazma aweke mizizi apo.
Mkuu acha kumfananisha Wenger na vitu vya kijinga
 
Imepoa sana inaboa bora hata jokate katinga huyu mc wa kiume sijui wamemuokota wapi
 
Modes mnisaidie kupandisha updates umeme umekatika nilipo
 
Back
Top Bottom