Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

By the way mbona tume inajishtukia?kila kukicha inakabidhi ripoti tu? Tumeshahau tusonge mbele ndugu zangu.
 
Mshiriki namba 9 anastahili kuwa miss Tanzania,Mweusi,mrefuuu,anajua kutembea sana kuliko wenzie....
 
Yani hili shindano linahtaji udhamini na watu makini ili kulipa hadhi yake tena lisimamiwe na wizara na kutafta wadhamini, bila hivo lundenga hana jipya
Huko kwenye wizara nakupa pole, Mentality yetu haya mashindano ni anasa kibongo bongo, na ki ukweli kwenye michezo nchi yetu tushafeli hilo liko wazi mi naona tungewekeza kwenye mbio kama wakenya ingekuwa nafuu tu, sababu ni mchezo nafuu, na unahitaji facility ndogo sana ukilinganisha na mengine hii nchi tuna shida kubwa dada yangu. Magufuli ukimwambia mambo ya umiss sio tu atakutumbua na makofi anaweza kukuzaba.
 
Yaaani wanaume wazima bado mnafatilia ma Miss kweli wanaume wa Dar bhana tena mnaponda kabisa kweli kina lundenga wengi
 
Mshiriki namba 9 anastahili kuwa miss Tanzania,Mweusi,mrefuuu,anajua kutembea sana kuliko wenzie....
Hiko sio kigezo cha ushindi ngoja ajibu na maswali unaweza kuta kichwani ni universal set
 
MC mtu mzima sana alipaswa kuwa anafuatilia pensheni NSSF
Hahahahaaa uwiiiii...yupo doroooo. Kanichekesha kuwaambia waheshimiwa wasimame kuwapungia waalikwa...utadhan wapo harusini bwana
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hivi huyu Kidoti kumbe naye kichwani ni bure kabisa, yani uzuri wote alionao leo kaja kama kinyago.

Hivi dada zangu mnapofanya make up huwa hamjitazami kwenye kioo? Kulikuwa na ulazima gani wa Kidoti kuvaa hiyo minywele ya maiti kichwani?
Am disappointed with Kidoti.
labda alipania sanaaaa alitaka aonekane unique
 
Hizo camera za Star TV utadhani wanatumia simu za Itel.... Washiriki wamepoooa full kupishana vitendo.....Mc hovyooooo...its so boring!!!!
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hili shindano lingepelekwa Arusha lingekuwa la Kimataifa....Si unakumbuka Miss World Tourism Arusha waliwakilisha vizuri...

Tatizo Mwanza washamba sana...Mangosha haya yanatabu sana..

chongchung
FisadiKuu
tatizo arusha hamna potential kama mwanza kwenye issue za kitaifa hasa kwenye kuhost vitu vikubwa kama hivi na apa vinazingatiwa vitu vingi makampuni yamekaa pamoja na waandaji nakuona baada ya jiji la daslaam yes jiji la mwanza somehow lina potential angalau ya ku host hii event na faida ikaonekana as u know likitoka jiji la daslaam kwa tanzaniaaa mwanza ndioo potential city ya ku complete na daslaaaam...achaaa wivu wa kitoto sisi sote ni watanzaniaa... ngoshas are forever
 
Hao mademu wa ulimbwende izo kwapa hawakujiandaa wengi wao nyeusii zina sugu
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mwanza hii ni mara yenu ya kwanza na ya mwisho[emoji48][emoji48]..shindano limepoa,huyo MC wa kiume hakuna kitu kabisa..bora wangemweka hata McPilipili
Ya mwisho vipi na wanasema ni kwa miaka mitano[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuanzia 2016
 
bora tulale tu
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Subiri kidogo mkuu usilale, ngoja kidogo mambo mazuri hayataki haraka, usingoje kuhadithiwa.
Mavazi yao ya sasa hivi wanavutia sana, mpaka mshindi wangu niliemtabiria simuoni kafunikwa na walimbwende
 
Mshiriki namba 17 hajui kutembea na viatu kabisaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom