Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Joketi kachemsha mno hyo makeup kama kamwagiwa na hizo nywele sasa chahHivi huyu Kidoti kumbe naye kichwani ni bure kabisa, yani uzuri wote alionao leo kaja kama kinyago.
Hivi dada zangu mnaponya make up huwa hamjitazami kwenye kioo?
Am disappointed with Kidoti.
Wabeja kulumb'haMwabhe'ja sana
*watangazaji wa redcarpet hasa yule male hakuchangamka.nimekaa hapa nawacheka star tv tu
Nywele alizoweka leo kichwani kwake zimemtowa vibaya sana!!ameonekana kama anaenda Halloween[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi huyu Kidoti kumbe naye kichwani ni bure kabisa, yani uzuri wote alionao leo kaja kama kinyago.
Hivi dada zangu mnaponya make up huwa hamjitazami kwenye kioo?
Am disappointed with Kidoti.
aaaanh hajafika bado ....kama now hakuna mtu ni mwendo wa muziki wa vyombo vitupu....hawa wasanii wa mwendokasi namsubir bella tu nilale
Itakuwa ni marangirangi ya Star TvHivi huyu Kidoti kumbe naye kichwani ni bure kabisa, yani uzuri wote alionao leo kaja kama kinyago.
Hivi dada zangu mnapofanya make up huwa hamjitazami kwenye kioo? Kulikuwa na ulazima gani wa Kidoti kuvaa hiyo minywele ya maiti kichwani?
Am disappointed with Kidoti.
Kuna application ya afrobox kwenye smartphoneHivi kuna link ya kuweza kuona hilo shindano live online?
-Nyerere-
Alikua anajipodoa bn.. Huoni amechelewa kuingia stejin. BTW nafikri ameingia na Mentality kuwa shez the most valuable host/celebrty kwa leo.Hivi huyu Kidoti kumbe naye kichwani ni bure kabisa, yani uzuri wote alionao leo kaja kama kinyago.
Hivi dada zangu mnapofanya make up huwa hamjitazami kwenye kioo? Kulikuwa na ulazima gani wa Kidoti kuvaa hiyo minywele ya maiti kichwani?
Am disappointed with Kidoti.
haa haa at any time t nyeupe inakuwa nyeusi hii ndo bongo. Nchi yenye watu wenye akili zisizochunguzika.Jecha na jaji lubuva wako kila corner aisee
Mkuu acha kumfananisha Wenger na vitu vya kijingaTatizo wamilik Shindano km wenye timu ya Arsenal na kocha wao Wenga washabick hata mlalamike vp wenga afukuzwi maana wanachoangalia wao ni mapato na hii nadhan itachukua miaka ming kuito Mwanza waloingia ni weng sana na kiingilio ni kikubwa sana ivo watavuna Pesa nying sana tofaut na Dar ,bila kuangalia ubora wa shindano lenyewe,ivo Lundenga lazma aweke mizizi apo.
mimi nilipigwa ban kwa njni wewe usipohwe nan?Umeandika mada kilofa lofa.
Wamewapandisha wasanii chipukizi wa mwanza "nyumbani kwanza" lakini shindano ni la watanzania wote hapakuwa na haja ya kupandisha chipukizihawa wasanii wa mwendokasi namsubir bella tu nilale
Imepoa sana inaboa bora hata jokate katinga huyu mc wa kiume sijui wamemuokota wapi
bora tulale tuWamewapandisha wasanii chipukizi wa mwanza "nyumbani kwanza" lakini shindano ni la watanzania wote hapakuwa na haja ya kupandisha chipukizi