franktemu123
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 1,406
- 1,475
Huko kwenye wizara nakupa pole, Mentality yetu haya mashindano ni anasa kibongo bongo, na ki ukweli kwenye michezo nchi yetu tushafeli hilo liko wazi mi naona tungewekeza kwenye mbio kama wakenya ingekuwa nafuu tu, sababu ni mchezo nafuu, na unahitaji facility ndogo sana ukilinganisha na mengine hii nchi tuna shida kubwa dada yangu. Magufuli ukimwambia mambo ya umiss sio tu atakutumbua na makofi anaweza kukuzaba.Yani hili shindano linahtaji udhamini na watu makini ili kulipa hadhi yake tena lisimamiwe na wizara na kutafta wadhamini, bila hivo lundenga hana jipya
Wasukuma washamba sanaHili shindano lingepelekwa Arusha lingekuwa la Kimataifa....Si unakumbuka Miss World Tourism Arusha waliwakilisha vizuri...
Tatizo Mwanza washamba sana...Mangosha haya yanatabu sana..
chongchung
FisadiKuu
Hiko sio kigezo cha ushindi ngoja ajibu na maswali unaweza kuta kichwani ni universal setMshiriki namba 9 anastahili kuwa miss Tanzania,Mweusi,mrefuuu,anajua kutembea sana kuliko wenzie....
Hahahahaaa uwiiiii...yupo doroooo. Kanichekesha kuwaambia waheshimiwa wasimame kuwapungia waalikwa...utadhan wapo harusini bwanaMC mtu mzima sana alipaswa kuwa anafuatilia pensheni NSSF
labda alipania sanaaaa alitaka aonekane uniqueHivi huyu Kidoti kumbe naye kichwani ni bure kabisa, yani uzuri wote alionao leo kaja kama kinyago.
Hivi dada zangu mnapofanya make up huwa hamjitazami kwenye kioo? Kulikuwa na ulazima gani wa Kidoti kuvaa hiyo minywele ya maiti kichwani?
Am disappointed with Kidoti.
wanapunguza stress za kazi bhana entertainment muhimuYaaani wanaume wazima bado mnafatilia ma Miss kweli wanaume wa Dar bhana tena mnaponda kabisa kweli kina lundenga wengi
tatizo arusha hamna potential kama mwanza kwenye issue za kitaifa hasa kwenye kuhost vitu vikubwa kama hivi na apa vinazingatiwa vitu vingi makampuni yamekaa pamoja na waandaji nakuona baada ya jiji la daslaam yes jiji la mwanza somehow lina potential angalau ya ku host hii event na faida ikaonekana as u know likitoka jiji la daslaam kwa tanzaniaaa mwanza ndioo potential city ya ku complete na daslaaaam...achaaa wivu wa kitoto sisi sote ni watanzaniaa... ngoshas are foreverHili shindano lingepelekwa Arusha lingekuwa la Kimataifa....Si unakumbuka Miss World Tourism Arusha waliwakilisha vizuri...
Tatizo Mwanza washamba sana...Mangosha haya yanatabu sana..
chongchung
FisadiKuu
Ya mwisho vipi na wanasema ni kwa miaka mitano[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuanzia 2016Mwanza hii ni mara yenu ya kwanza na ya mwisho[emoji48][emoji48]..shindano limepoa,huyo MC wa kiume hakuna kitu kabisa..bora wangemweka hata McPilipili
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]bora tulale tu
Tatizo unalipa kabla ya show, ingekuwa unalipa baada mbona ingekuwa taflani au ungeomba chenjiKiingilio hata ingekuwa buku tano nisingeenda
Hata number sitaMshiriki namba 9 anastahili kuwa miss Tanzania,Mweusi,mrefuuu,anajua kutembea sana kuliko wenzie....