PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Pamoja sana asante!Kuna application ya afrobox kwenye smartphone
Angalau safari hii wamejitahidi kutuletea mamiss wazuri...wadogooo na warembo,ila kuna limama limoja kama la kiarabu naliona [emoji38],,ngoja nilikariri nambaHata number sita
Unatafuta nini huku? Hebu toka hapa.mimi nilipigwa ban kwa njni wewe usipohwe nan?
swissme
Miss number 6,18 waingie top ten
Mkuu TV haionyeshi vzuri yani ni ka star TV na clouds wanachukulia video CMU ya kichinaWeka picha basi tuwaone, hapa kijijini TV hatuna aisee!
namba 18 namkubali sanaMiss number 6,18 waingie top ten