Yani had nimeshangaa top five wabovu wote usipokuwa ana nitwaWamecheat tena pumbavu[emoji48][emoji48][emoji22]..Siha Pius ameachwa?!
ndo ishatoka hyoJamani hii top five mbona siielewi
Yani top five vtuko top usipotoa rushwa hufiki popoteJamani hii top five mbona siielewi
ahahaaa yule illuminata alieanzishiwa thread humu nae kapigwa chiniYani had nimeshangaa top five wabovu wote usipokuwa ana nitwa
Mkuu ulitaka wafanye chaguo la moyo wakoWamecheat tena pumbavu[emoji48][emoji48][emoji22]..Siha Pius ameachwa?!
Yaani wale weusi wote wameachwa!!Ndibalemwa Ameachwa,Siha Pius ameachwa,ujinga mtupu,wametuwekea wasiojua kutembea..Jamani hii top five mbona siielewi
Kapigwa chini huyo bora wampe miss Dodoma ndo atleast aisee wengine ni vtukoahahaaa yule illuminata alieanzishiwa thread humu nae kapigwa chini
Hata mimi sijaelewa kabisa miss tz haiji kubadilika ni ile ile ya miaka yote japo kua walifungia lakini no changesJamani hii top five mbona siielewi
Aiseee haya ni maajabu duh wote vichomindo ishatoka hyo
Yani top five vtuko top usipotoa rushwa hufiki popote
Miss world Watanzania hutia aibu aiseeYaani wale weusi wote wameachwa!!Ndibalemwa Ameachwa,Siha Pius ameachwa,ujinga mtupu,wametuwekea wasiojua kutembea..
Hivi Lundenga si astaafu tu jamani?!!
Hapana mkuu ila huyo Dayana namba 14 hajui kutembea..ubishoo mtupuMkuu ulitaka wafanye chaguo la moyo wako
Kabisa nilijua lundenga kajifunza ila wapiAiseee haya ni maajabu duh wote vichomi
Kenge kabisa wewe shwaini yako, sasa kwenye huu uzi umefuata nini?Yaaani wanaume wazima bado mnafatilia ma Miss kweli wanaume wa Dar bhana tena mnaponda kabisa kweli kina lundenga wengi
😀 Mtoto wa kinoHapana mkuu ila huyo Dayana namba 14 hajui kutembea..ubishoo mtupu