Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Hawa watangazaji kiboko penye r wanaweka l mi watu waongeaji HVO hunichefua aisee
Watu wanaharibu sana lugha ya taifa,Mtangazaji/MC wa shughuli muhimu kama hiyo hawezi hata kuongea kiswahili fasaha aibu kubwa.
Hivi hawa watu wanaoandaa hizi shughuli huwa hawatazami wenzao huko mbele wanafanyaje???hata kama hutofikia huko angalau hata 55% yao sio mbaya.
 
Tatizo uoga hufanya maneno yapotee hasa yakuunga unga, sasa huyo wamwisho kapanic baada ya kuona mwenzake kajibu kiuurefu na yeye badala aongee kiufupi tu ndo kaishia njiani.
Na alikuwa na swali jepesi na liko straight kabisa beauty with environment hapana chezea lugha ya kina Richard Turnbull Mwalimu alipowatimua wakaondoka nayo
 
bora ashinde yule kuliko wa mwanza kila kitu mwanza jamani huu mwaka tutakoma
raisi mwanza
miss tz mwanza
makonda nae huko huko Mungu atuepushe kwa kweli
Ahahahahaha!!!itakuwa mipango ilishasetiwa tayari..maana yuko Vizuri sana yule dada
 
Yani tangia shindalo lianze watangazaji wanaharibu tu lugha sijui hawajifunzi
 
Hahaaa hivi hakujiangalia kwenye kioo jamani bora angejipaka poda ya baby Johnson's. Hao wapaka makeup Mungu anawaona wamemfanya mwenzao ka kinyago
Mwanza kuna Flora beaty Saloon. Vp hajausika hapo kwa
Mc?
 
Wa Mwanza uraia utamuhusu kiaina na Lukuvi atataka kumjua...kwi kwi kwiiii. ila hajanivutia majibu yake kutaka kutalii nchini...ana bahati CD yake ilipiga kazi.

Namba Moja bomba

Hao wengine mmmmh

Kwangu mimi hamna kitu, ilibidi wasitengeneze CD namba tano duh

Namba tatu wazazi sijui walezi waliruka wakitoa vidole gumba juu kwa pongezi kwa kukramisha...ila mmmh

Kwanini hawakuruhusiwa kutumia Kiswahili kujibu?

Shame on you waandaaji, ndio maana na kidoti mkeup imebuma na wa black suit sijui mc kituko gani. Kidoti ni kuhesabu

Mie namba 1 kujibu oyeeee nitamfatilia kuanzia kesho nimependa anachofanya, wengine watajiju hata wakishinda.
 
Watu wanaojua kunata na beats LIVEEE! weka mbali na ........
 
Reactions: MC7
Kuna watu wengine wana maswali ya ajabu sn,hivi anayefaa kuangalia warembo ni KE au ME,jibu ni ME tuu cye ndyo tulioumbiwa hivi viumbe ni raha kuwaangalia wanapopita mbele wamejiremba wanaringa basi cye huku raha duniani,hakuna raha nzuri km kuwaangalia walimbwende bhanaaa
 
Reactions: MC7
bora kale ka kwanza maana kwanza ni 18 na ni bikra
 
Miss Tz 2016 imebebwa na
*Jokate Mwegelo
*Mwanamuziki Bella
*uwepo wa Hoyce temu & Wema Sepetu
[emoji115] [emoji115] [emoji115] wapewe sifa hao[emoji115] [emoji115] [emoji115]
Pamoja na wadhamini wote
Yani tangia shindalo lianze watangazaji wanaharibu tu lugha sijui hawajifunzi
 
Hapana mkuu ila huyo Dayana namba 14 hajui kutembea..ubishoo mtupu
Very interesting yaan kuelezea beauty and environment imemtoa jasho na swali ameshinda nalo almost siku nzima!!! Ukiwakuta chuo sasa.....
 
Reactions: MC7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…