Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

shindano limechangamka kwelikweli, limevunja rekodi ya mashindano yote miss tanzania ambayo yalishawahi fanyika. mwanza inatisha kwelikweli
 
Na mimi hiyo nimeiona, sasa wa kati duh

Mnisamehe ila haya mashindano yanayake...pesa inatembea kama kawa.

Wa Mwanza kufurahisha waliolipia kiingilio pia.

Namba 5 hakunivutia tangu mwanzo pia
5,4 hawajanivutia sura mbovu ka wanapuriza myotoo chaah nmempenda wa kwanza ila usishangae wa mwanza akashinda
 
Mpk sa iv hujasifia yeyote.kuwa. kuwa muungwana mpendwA
Mbona kuna wengine wazuri kuliko top five hawajapata nafasi, kwenye top five Anna nitwa ana deserve ushindi ila kibongo bongo mhhhh
 
Na mimi hiyo nimeiona, sasa wa kati duh

Mnisamehe ila haya mashindano yanayake...pesa inatembea kama kawa.

Wa Mwanza kufurahisha waliolipia kiingilio pia.

Namba 5 hakunivutia tangu mwanzo pia
Wa mwanza lazima apewe shangwe kwani si yupo kwao: nani atakubali atoe shangwe kwa mrembo mwengine wakati mwanza wanamrembo wao, wahudhuriaji wengi kutoka nyumbani mwanza
 
Na mimi hiyo nimeiona, sasa wa kati duh

Mnisamehe ila haya mashindano yanayake...pesa inatembea kama kawa.

Wa Mwanza kufurahisha waliolipia kiingilio pia.

Namba 5 hakunivutia tangu mwanzo pia
Kuhusu pesa mimi sina uhakika, naimani mwaka huu hakuna rushwa sababu ya uboreshaji wa mashindano haya
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Watu kwa kulalamika, hakuna mshiriki alie onewa hapo. J-e-c-h-a yuko makini sana, acheni uoga.
 
5,4 hawajanivutia sura mbovu ka wanapuriza myotoo chaah nmempenda wa kwanza ila usishangae wa mwanza akashinda

Namba nne eeeeh alibwabwaja hata haikupendeza, hivi aliweka full stop hata kujipa sekunde kupumua ha ha haaaa
 
shindano limechangamka kwelikweli, limevunja rekodi ya mashindano yote miss tanzania ambayo yalishawahi fanyika. mwanza inatisha kwelikweli
acha utani
Ha ha haaaaaaaaaa

Atapokea mgumi za kimasai, namuombea afike mbali kwa kweli kivyovyote.

Ila ndio star wa hao top 5 bila kupingwa, na atatufikisha mbali kama nchi.
ahahaaa yaani mzee wa mabebs kaingiza mtu 30 leo kwenye account yake
 
Miss Geita awa Miss Tanzania
Kwahiyo 'Clouds' na 'Star' wanatuhadaa?
Wanaonyesha Bella anaimba huku wanasema ni 'Live' na hii ni baada ya kusikiliza warembo wakijibu maswali 'Na kile KIDHUNGU feki' sielewi ujue.
 
Back
Top Bottom