Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
5,4 hawajanivutia sura mbovu ka wanapuriza myotoo chaah nmempenda wa kwanza ila usishangae wa mwanza akashinda
wa mwanza aka namba 26 lazima ashinde make ndo kawafunika wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
5,4 hawajanivutia sura mbovu ka wanapuriza myotoo chaah nmempenda wa kwanza ila usishangae wa mwanza akashinda
Hao top five huandaliwa mapema kabisa na ni lazima rushwa itembee bila HVO hata uweje na vigezo hutoboziNa mimi hiyo nimeiona, sasa wa kati duh
Mnisamehe ila haya mashindano yanayake...pesa inatembea kama kawa.
Wa Mwanza kufurahisha waliolipia kiingilio pia.
Namba 5 hakunivutia tangu mwanzo pia
wema anataka kumake headline tu keshoBella anataka kumtoa Wema pesa zote leoooo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
bela kampandisha wema jukwaani kama nani?Ila Wema kapendeza
Aisee ficha upumbavu wako kwani nani kakwambia mi mchaga?? Kwanza miss lenu libaya limebebwa tuwe mchaga unawivu sana na wanakanda ya ziwa, wale ni chama kubwa hamuwawezi.
sasa bela kampandisha jukwaani kwani hii event ni yake? bongo bna hakuelewekiwema anataka kumake headline tu kesho
Huyo mtangazaji wa kiume sasa utafikiri mwanafunzi wa boarding kavaa shamba dress
katoka kiutuzima leo.kama.mama parokoMgauni wa Wema Hell Noooo[emoji38][emoji38][emoji38]
Hata Mimi nimeshangaa kwa kweli au kisa kamtuzabela kampandisha wema jukwaani kama nani?
Km mmoja angeongea Kiswahili angepata ushawishi zaid wa kuendeleaHivi hairuhusiwi kuongea kiswahili kwenye hili shindano?
Ninaamini Raisntuko naye live atakemea huu utumwa wa lugha. Watu wanakariri tu wakati wangetumia kiswahili wana uwezo mkubwa tu,bona wachina wameshinda miss world na walikuwa wanaongea Kichina?
Swali gumu sana hili ila mtu anaweza ona rahisi. Sasa hapo tunahoji status ya Bela au Wema kwenye hili tukio la leobela kampandisha wema jukwaani kama nani?
Mgauni wa Wema Hell Noooo[emoji38][emoji38][emoji38]
yani ni.shidaaa ila nahisi.wema.nae alikuwa aan admire.kupandishwa .mapesa yake hayajaenda buresasa bela kampandisha jukwaani kwani hii event ni yake? bongo bna hakueleweki