Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
au alidhani ni vile vigodoro vyao? hii event ina wenyewe bnaHata Mimi nimeshangaa kwa kweli au kisa kamtuza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
au alidhani ni vile vigodoro vyao? hii event ina wenyewe bnaHata Mimi nimeshangaa kwa kweli au kisa kamtuza
Wema hajui ugumu wakutafta hela ndo maana yeye nikutuza tu.Sasa nimeanza kumuelewa Diamond kuhusu tabia za Wema kwenye raslimali pesa. Diamonds alikuwa anamtakia mema Wema.
hela isiyo na jasho haina uchungu ametoka china alikuwa na jamaa wa gsm so ana hela ya kutoshaSasa nimeanza kumuelewa Diamond kuhusu tabia za Wema kwenye raslimali pesa. Diamonds alikuwa anamtakia mema Wema.
Labda alimuomba Bella amwite Jukwaani,au alidhani ni vile vigodoro vyao? hii event ina wenyewe bna
hahah hivi hajapewa limit ya muda.kama vipi wambonyezeBella imetosha sasa na ww cjui upo viroba
Aisee ficha upumbavu wako kwani nani kakwambia mi mchaga?? Kwanza miss lenu libaya limebebwa tu
Out of point and nonsensewabaya wote washatoka, yule wenu wa kilimanjaro ndo wa kwanza kusomwa kutoka. kanda ya ziwa chama kubwa tunawanyoosha na mtanyooka kwelikweli.
Had kero sasa duhahah hivi hajapewa limit ya muda.kama vipi wambonyeze
hela isiyo na jasho haina uchungu ametoka china alikuwa na jamaa wa gsm so ana hela ya kutosha
Ahahahahawema anataka kumake headline tu kesho
Washukuru Mungu pia wametumia kick ya wema kupata shangwe na kuibamba show. Bella anaimba vizuri, anajua kutumia jukwaa Big up Bella[emoji109] [emoji109]bela kampandisha wema jukwaani kama nani?
sasa bela kampandisha jukwaani kwani hii event ni yake? bongo bna hakueleweki
Out of point and nonsense
Bella hukusanya mno kwa Tanzania ndo msanii ninayemkubali na anafaa kualikwa kwenye events za heshimaBella inatoshaaaaaaaa
tumvumilie tuHad kero sasa du
Alafu na ww Miss Neddy mbona ckuoni jukwaani
Aiseeeh mbn unawashka pabaya ivo? Hahahahaha!!!Flora ndo kashindwa kabisa kuwapaka makeup ka wamedondoshewa makopo ya foundation