Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Alisha cremisha kabisa ila akipewa ushindi ajifunze ajifunze kutamka Serengeti na vivutio vizuriAhahahahaha!!!itakuwa mipango ilishasetiwa tayari..maana yuko Vizuri sana yule dada
Yani tena Joketi ndo kaokoa JahazMiss Tz 2016 imebebwa na
*Jokate Mwegelo
*Mwanamuziki Bella
*uwepo wa Hoyce temu & Wema Sepetu
[emoji115] [emoji115] [emoji115] wapewe sifa hao[emoji115] [emoji115] [emoji115]
Pamoja na wadhamini wote
Yaani we acha tuAlisha cremisha kabisa ila akipewa ushindi ajifunze ajifunze kutamka Serengeti na vivutio vizuri
Nina wasiwasi kama huwa wanajaribu hata kupitia video youtube za mashindano yaliyopita ili kujifunza wabongo ni Addict wa Insta na Fb wakati youtube ina kila aina ya mafunzo unayohitaji duniani hapaHapo angejibu kwa kifupi na kueleweka hata miss world mbona hujibu kwa kifupi na Ku hit point basi
Kuna warembo wazuri walikuwepo pale lakini hawajaingia top 5[emoji22] [emoji24] roho yaniuma sana hapa. Lakini poa tu ngoja tuwaachie majaji wafanye kazi yao, wao ndo kila kitu wanaujuzi zaidiHii top five kiboko, hafu wakiendaga miss World huwa hawako comfortable wenzao huwa visu na wamekamilka aisee kama Lilian na Happiness
sanaaaa bila.yeye.palipoaajeYani tena Joketi ndo kaokoa Jahaz
Yupo vzur yawezekana ndo tamasha lake kubwa then kuwa karbu na watu maarufu.MC mtu mzima sana alipaswa kuwa anafuatilia pensheni NSSF
🙂 Dada Miss Natafuta unauhakika hakajawahi kupanda baiskeli??
le mutuz atamzinduaWakitaka kurudisha heshima ya u misi huyo, hatachezewa na wanaume kwi kwi kwiiii
Weka picha nltoka kdg aiseeehnamba 15.sidiria imechukaje aibu
Jokate na Bella ni majembe[emoji109] [emoji109]Yani tena Joketi ndo kaokoa Jahaz
tumbooo nilikumisswameniudhii sana kumtoa cia mfyuuuu zao
mi.nilifumba.macho mwanawaneWeka picha nltoka kdg aiseeeh
Kuna warembo wazuri walikuwepo pale lakini hawajaingia top 5[emoji22] [emoji24] roho yaniuma sana hapa. Lakini poa tu ngoja tuwaachie majaji wafanye kazi yao, wao ndo kila kitu wanaujuzi zaidi
Wabongo hata hawajifunzi hata waandaaji wenyewe tu ili uwe miss world lazima uwe unique na hata talent sas a bongo tu naangalia only kujibu. Vijana wasikuhizi Instagram ndo kila kituNina wasiwasi kama huwa wanajaribu hata kupitia video youtube za mashindano yaliyopita ili kujifunza wabongo ni Addict wa Insta na Fb wakati youtube ina kila aina ya mafunzo unayohitaji duniani hapa
nlikumis pia we mwanamke ulipotelea wapi huonekani shogaangtumbooo nilikumiss
Yani top five wabovu aisee mshindi atakayeenda miss world atajishukia mwenyewe.Kuna warembo wazuri walikuwepo pale lakini hawajaingia top 5[emoji22] [emoji24] roho yaniuma sana hapa. Lakini poa tu ngoja tuwaachie majaji wafanye kazi yao, wao ndo kila kitu wanaujuzi zaidi
Mpk sa iv hujasifia yeyote.kuwa muungwana mpendwAJoketi kachemsha mno hyo makeup kama kamwagiwa na hizo nywele sasa chah