Hili shindano lingepelekwa Arusha lingekuwa la Kimataifa....Si unakumbuka Miss World Tourism Arusha waliwakilisha vizuri...
Tatizo Mwanza washamba sana...Mangosha haya yanatabu sana..
chongchung
FisadiKuu
Wee hebu njoo5,4 hawajanivutia sura mbovu ka wanapuriza myotoo chaah nmempenda wa kwanza ila usishangae wa mwanza akashinda
umeonA FLORA MUANDAAJI ALIVOVAA?Hivi Jokate kakosa gauni jingine abadilishe hilo jamani?
Mwenzangu mie hata sielewi kwakweliumeonA FLORA MUANDAAJI ALIVOVAA?
Yani hata cjawaelewa bora mwenzake kidogo kapendezasasa flora kavaa nini na mwenzake?
HUYU MAMA NAE KAMA ANAENDA KANISANIMwenzangu mie hata sielewi kwakweli
HUYO MAMAA ANAONGEA NAE KAMA ANAENDA KANISANIYani hata cjawaelewa bora mwenzake kidogo kapendeza
Ndo Leo namuona kumbe naye ni naibu Waziri nilikua cmujuiHUYU MAMA NAE KAMA ANAENDA KANISANI
hahahaj hachelewagiUmemleta bro Magu tena
Mwache alale maana unaweza kumshtua akafuta Tamasha[emoji125]
Wa-Mwanza wametaka apande...sasa bela kampandisha jukwaani kwani hii event ni yake? bongo bna hakueleweki
NDO NAIBU WA NAPE KUMBE?Ndo Leo namuona kumbe naye ni naibu Waziri nilikua cmujui
Yani hata hajulikani naona Nape kamruhusu kumwakilishaNDO NAIBU WA NAPE KUMBE?
sasa kiingereza na uchaga kinaingiaje[emoji2] [emoji2] [emoji2] kingereza najua vzuri tu usivo na akili unafikiri kingereza ni big issue sana hyo ni lugha ka ilivo kiswahili.
Yani huyo sexer sijui katoka wapi na ukabila wake chah. Watu wengine sijui hawajui kingereza ni lugha tu ka ilivo kiswahili, kizaramo na kikwere, kuna watu ukabila umewajaasasa kiingereza na uchaga kinaingiaje