Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Yani tena Anna alizomewa kabisa yule wa mwisho alitia huruma

Nimekuwa kama sikuwaelewa kwa namba

Walivyosimama leo
1- miss tz
2-
3-
4- huyu najua hakupata
5-

Walioshinda ni wapi 1st runner-up na 2nd?

Nitashukuru, nilikuwa nasubiria atajwe mshindi teh teh teee
 
Reactions: MC7
Tumewapa chance watuoneshe angalau utofauti kidogo wamefanya fyongo tu kuanzia mwanzo wa events mpaka mwisho..the most bored misstz ever
ni kwel itakua bajet yke ndg.
Wadhamin weng ni makampun ya kawaida na hotels
 
Nimekuwa kama sikuwaelewa kwa namba

Walivyosimama leo
1- miss tz
2-
3-
4- huyu najua hakupata
5-

Walioshinda ni wapi 1st runner-up na 2nd?

Nitashukuru, nilikuwa nasubiria atajwe mshindi teh teh teee
*Aliesimama wa 4..yule wa mwanza aliepewa shangwe nyingi ameshika nafasi ya 2.
*Yule wa 3 kuulizwa swali amekuwa wa 3 hivyohivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…