Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Yani tena Anna alizomewa kabisa yule wa mwisho alitia hurumaIle CD ilikata ghafla, nikafikiri anajikojolea..nikaanza kuangalia stage kama inaloa anvyotembea.
Yaani nilijicheka usiku huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani tena Anna alizomewa kabisa yule wa mwisho alitia hurumaIle CD ilikata ghafla, nikafikiri anajikojolea..nikaanza kuangalia stage kama inaloa anvyotembea.
Yaani nilijicheka usiku huu
Tumewapa chance watuoneshe angalau utofauti kidogo wamefanya fyongo tu kuanzia mwanzo wa events mpaka mwisho..the most bored misstz everMkuu mbn unachokoza watu humu?
Hahhahaha Kinondoni,Sinza [emoji38][emoji38].bora Manzese unaweza kuzpataHahaaa hamna kitu pale
Jamani manzese vitoto vya darasa LA kwanza vinajua a to z kabisaHahhahaha Kinondoni,Sinza [emoji38][emoji38].bora Manzese unaweza kuzpata
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Ile CD ilikata ghafla, nikafikiri anajikojolea..nikaanza kuangalia stage kama inaloa anvyotembea.
Yaani nilijicheka usiku huu
Lundenga uwe unatulia basiUmenijibu kilofa lofa.
Yani tena Anna alizomewa kabisa yule wa mwisho alitia huruma
ni kwel itakua bajet yke ndg.Tumewapa chance watuoneshe angalau utofauti kidogo wamefanya fyongo tu kuanzia mwanzo wa events mpaka mwisho..the most bored misstz ever
Duhhh picha tunaomba.
zaman bn siku izi vinajitunza bn[emoji38][emoji38].Jamani manzese vitoto vya darasa LA kwanza vinajua a to z kabisa
Dunia imechange mno aiseezaman bn siku izi vinajitunza bn[emoji38][emoji38].
Hahaaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125]Mbona anapungia mkono ka pangaboi?
ndo miss tz huyu mwanamke zege
*Aliesimama wa 4..yule wa mwanza aliepewa shangwe nyingi ameshika nafasi ya 2.Nimekuwa kama sikuwaelewa kwa namba
Walivyosimama leo
1- miss tz
2-
3-
4- huyu najua hakupata
5-
Walioshinda ni wapi 1st runner-up na 2nd?
Nitashukuru, nilikuwa nasubiria atajwe mshindi teh teh teee
Huyu nimeenda Instagram kwa page yake ka deserve akiendelea na project yake anaweza kufika mbali kumbe sio wa sport sport![]()
Mh ila kazi ipo..