yeye nani kwaniKumbe aliyemjaza ma make-up ni huyo sijui nani mwenye mambo ya urembo Mwanza nani tena mmmh Flora? aliyeandaa pia miss TZ Mwz..akamjaza hatuaribie uzuri wa mrembo wetu. picha za 2 days ago jijini Mwanza.
View attachment 426381
Mfollow insta, wengine sisi tumefanya hivyo usiku huu.
Mi naona kumekucha aisee nimetoboza leo
Mpk saa 4 asubui ataongeza 2K+ followers ...
Labda bongo ya kwenu ndio hamna wanawake wazuriTatizo bongo hakuna wanawake wazuri wote nywele mawingi wana sura za babu zao mkorogo vitambi
Akuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu......Labda bongo ya kwenu ndio hamna wanawake wazuri
Labda bongo ya kwenu hakuna wanawake wazuri .
Sasa hawa ni wazuri au wamevimba makalio na miguu.Labda bongo ya kwenu ndio hamna wanawake wazuri
Labda bongo ya kwenu hakuna wanawake wazuri .
Kumbe ndo maana.hata wa chato nae hvyo hvyooo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ila wasukuma wenzangu ushamba utatuisha lini?
Ha haaa ivi ni kweli mkuu?Mweh!!..IST New Model,poa tu lakini
imelaaniwa kwa kuonyrsha kampeni za chama KILEEEEYani star TV ni jipu bora clouds kidogo
wasukuma sijui mkoje...mmezoe wavaa milegezo wa pwani! hii ni kanda ya ziwa mulah! heshima mbele
masukuma yana ukabila sanaYani huyo sexer sijui katoka wapi na ukabila wake chah. Watu wengine sijui hawajui kingereza ni lugha tu ka ilivo kiswahili, kizaramo na kikwere, kuna watu ukabila umewajaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sauda mwilima nae wa mwanza
filter hiyooDah I hate make up jamani...!!!
hebu ona hizo picha mbili za mwanzo...kama kinyago!
R u kenyan?na mbona ni kama watu hakuna wanavuta muda wajae kiasi lakini muda unasonga watu hawatokei
Si wasukuma nawewe?Mbunge katupia form six yake fresh TU!
Mwanza kwa mavazi bado sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wasukuma bwanaaa!!Mkuu umewapa chance wewe na nani? Kamati ya miss Tanzania inaundwa na wana Mwanza, Tena mshukuru sana wana Mwanza wamewabebea aibu, inapaswa na change muwarudishie watu wajaze ukumbi vile afu uwaletee msanii mmoja afu kiingilio 20,000/= 50,000/= na 100,000/=