mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,588
- 11,668
yeye nani kwaniKumbe aliyemjaza ma make-up ni huyo sijui nani mwenye mambo ya urembo Mwanza nani tena mmmh Flora? aliyeandaa pia miss TZ Mwz..akamjaza hatuaribie uzuri wa mrembo wetu. picha za 2 days ago jijini Mwanza.
View attachment 426381
Mfollow insta, wengine sisi tumefanya hivyo usiku huu.