Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Kumbe aliyemjaza ma make-up ni huyo sijui nani mwenye mambo ya urembo Mwanza nani tena mmmh Flora? aliyeandaa pia miss TZ Mwz..akamjaza hatuaribie uzuri wa mrembo wetu. picha za 2 days ago jijini Mwanza.

View attachment 426381

Mfollow insta, wengine sisi tumefanya hivyo usiku huu.
yeye nani kwani
 
Tatizo bongo hakuna wanawake wazuri wote nywele mawingi wana sura za babu zao mkorogo vitambi
Labda bongo ya kwenu ndio hamna wanawake wazuri
14262663_160723294376211_3812104141753286656_n.jpg

14374008_101446850321980_2982989722059538432_n.jpg

14498871_314615795579971_1144529314604122112_n.jpg

14482794_1278858238800722_2811660951181328384_n.jpg


14052169_533439526857512_684131714_n.jpg

14730495_1750288488566957_3898201365406547968_n.jpg

14449206_207502856329824_3221260110911242240_n.jpg

14279163_1746696615570573_1117033520_n.jpg

14701223_1173932676027526_5930726623136448512_n.jpg

14727582_315278322164574_2853673479457210368_n.jpg

14693931_1125940837493247_103539249051074560_n.jpg


Labda bongo ya kwenu hakuna wanawake wazuri .
 
na mbona ni kama watu hakuna wanavuta muda wajae kiasi lakini muda unasonga watu hawatokei
R u kenyan?

Unasonga = msamiati wa wakenya wengi

Wajae kiasi = kenyans mnapenda kuitumia sana
 
Mkuu umewapa chance wewe na nani? Kamati ya miss Tanzania inaundwa na wana Mwanza, Tena mshukuru sana wana Mwanza wamewabebea aibu, inapaswa na change muwarudishie watu wajaze ukumbi vile afu uwaletee msanii mmoja afu kiingilio 20,000/= 50,000/= na 100,000/=
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wasukuma bwanaaa!!

mnajifagiliaaaaa!
 
Back
Top Bottom