Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Ndo huyu miss anaeyeenda kushindana na wafilipino na wabrazili
Washambaaa kuliko wahadzabemasukuma yana ukabila sana
sana tuWashambaaa kuliko wahadzabe
Ananikera huyo mtangazaji wa kiume anavyowaita "WALEMBO" badala ya WAREMBO....Sijui wametolewa wapi hawa raia!!Hata star TV hao watangazaji kiswahili kibovu huyo wakike na makeup yake aibu tyupu
Wasukuma hatuna ulimbukeni wa kuvaa artificial na kuwa kama kikaragosi, hayo tumewaachia nyie na wanaume wenu wa Dar ili wachina wanemeke dada Preta.Red carpet naona ni maronyaronya tu yamevaliwa......,
Wasukuma kuvaa vizuri hawataki kabisa.......
Huyu dada anaetangaza hiyo make up ni liwa kapakwa au.....?......
Yaani nafuu hajashinda msukumaTena yule flora, sijui jembe ni jembe wamejitoa sana lundenga tangia aboronge watu ka walilisusa shindano na wadhamini. Nawapongeza Mwanza Ku host haya mashindano bila HVO aisee
Pepsiii "Dea fo Moo" Hahahaaa....Hivi mdhamini nani wa MissTz2016
[emoji23]alitaka kupaa au[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
filter hiyoo
nimefikiri ni quality ya screen yangu, hapo natumia HDMI leo
ndo mambo zao hizo siku hizikwa nini uji-filter ili uonekane mbaya kuliko ukiwa natural?
Jiji pekee duniani ambalo unaweza katisha city centre ukakutana na kundi la Ngombe linakatisha
Mbaka??Hivi hakukuwa na mabinti weupe walioshiriki kwenye ilo shindano mbaka wamempa huyo?
-Nyerere-
ndo mambo zao hizo siku hizi
hawajiamini hata!
mie vishanshindaaa...na michunusi yangu utanikuta hvyoo!!
yaani camera 360 hovyo kabisa
Sipendi hilo neno dah...sijui limetokea wapi hadi watu wanalitumia hivyo.Mbaka??
we unawashwa si bureKweli kabisa umejuaje? Arusha ndivyo ilivyo kukutana na ng'ombemjini sio jambo la ajabu
Mtt wa mtaani kbs maeneo ya sakina seven up kwa ndichi