Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Red carpet naona ni maronyaronya tu yamevaliwa......,
Wasukuma kuvaa vizuri hawataki kabisa.......
Huyu dada anaetangaza hiyo make up ni liwa kapakwa au.....?......
Wasukuma hatuna ulimbukeni wa kuvaa artificial na kuwa kama kikaragosi, hayo tumewaachia nyie na wanaume wenu wa Dar ili wachina wanemeke dada Preta.
 
Tena yule flora, sijui jembe ni jembe wamejitoa sana lundenga tangia aboronge watu ka walilisusa shindano na wadhamini. Nawapongeza Mwanza Ku host haya mashindano bila HVO aisee
Yaani nafuu hajashinda msukuma

Angeshinda ndugu yao huwa wanapika ugali kwenye pipa halafu wanakula pamoja barabarani

Washamba sana

Umiss ni kwa Wachagga na Wamasai Tanzania.

Ova.
 
Mtuchambulie toka shindano la umiss lianze kabila lip linaongoza kuto mamiss.
 
kwa nini uji-filter ili uonekane mbaya kuliko ukiwa natural?
ndo mambo zao hizo siku hizi
hawajiamini hata!

mie vishanshindaaa...na michunusi yangu utanikuta hvyoo!!

yaani camera 360 hovyo kabisa
 
ndo mambo zao hizo siku hizi
hawajiamini hata!

mie vishanshindaaa...na michunusi yangu utanikuta hvyoo!!

yaani camera 360 hovyo kabisa


Hahah wadanganya wenzioeeee...

224175.jpg


waache wajikandike ila mimi sipendi kabisa hizo make up zilizokithiri aisee, kukata nyusi halafu unazichora upya, au kuweka kope fake daamn! aaargh...
 
Back
Top Bottom