REAGAN C.MABOGO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 1,269
- 1,007
Huu nao huwa ni moja ya ujinga tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kucomment ujinga ndio ujinga zaidi kuliko ujinga wenyewe.Huu nao huwa ni moja ya ujinga tu.
Tatizo kubwa alilonalo ni kutojua kutembea kimiss!!kwingine kote yuko vizuri..ila shida ni kutojua kutembea na HighHeels!!huyo miss kama sijamwelewa to be honest...
Sura ni mzuri pia,mwendo utamwangushaYeah inawezekana akawa anamiss some few stuffs ila nafikiri kikubwa wamemchagua kutokana na uanaharakati wake na projects alizofanya kupinga FGM na mimba za utotoni.
Pia msikilize akihojiwa ana points na visions kbs, lbd tu kama watabase kwenye sura.
Ndio ni IST [emoji38][emoji38]Ha haaa ivi ni kweli mkuu?
Ukishaelewa ni kwa nini wanawake wasio na mvuto ndio maboss maofisini na wale masista du wakare wanasota mitaani kutegemea kupinga mizinga wanaume basi utaanza kumuelewa hata huyu miss wetu.huyo miss kama sijamwelewa to be honest...
Nimeamka vizuri tu. Usiku mzima nimekuota.[emoji13] [emoji13] [emoji13]jirani umeamkaje?
Nilifikiri ni TV yangu tu ndo inaonyesha hivyo[emoji15]aaaaaah nimehamisha channel naangalia mpira sasa "barcelona vs Granada"
Wasukuma hatuna ulimbukeni wa kuvaa artificial na kuwa kama kikaragosi, hayo tumewaachia nyie na wanaume wenu wa Dar ili wachina wanemeke dada Preta.
Kiiiila kona, Politicians, Wanaharakati, Watangazaji wazuri, Wasomi n.kKaskazini bhana tunakimbizaga kila kona.
Hahaa subiria matusi chief.Kiiiila kona, Politicians, Wanaharakati, Watangazaji wazuri, Wasomi n.k
Well said, nowdays watu wanaconsider what u have in your mind, what vision do you have n not how do somebody look.Ukishaelewa ni kwa nini wanawake wasio na mvuto ndio maboss maofisini na wale masista du wakare wanasota mitaani kutegemea kupinga mizinga wanaume basi utaanza kumuelewa hata huyu miss wetu.
Ni kweli kabisa.Kwakweli mpaka sasa Mmasai mjinga na asiyekuwa na akili ambaye nimewahi kutana naye ni Ole Sendeka peke yake, lakini wengine wanafanya vizuri sana kwenye maeneo yao.
Bravo yelo masai.
[emoji6] [emoji6] mbona namimi nnekuotaNimeamka vizuri tu. Usiku mzima nimekuota.
Kaskazini bhana tunakimbizaga kila kona.