Malyakishu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,968
- 2,347
Anachimba dawa ...akaachwa na gariUmemuota anakufanya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anachimba dawa ...akaachwa na gariUmemuota anakufanya nini?
Ha ha ha!!!Anachimba dawa ...akaachwa na gari
Siku wakielimikaIla wasukuma wenzangu ushamba utatuisha lini?
Katika kitu ambacho kimenivuruga ni huyu dada wa Red carpet na make up yake yaani full kituko[emoji3] [emoji3].
Afu wewe ni pm nakutafuta sana miss tangaSiku wakielimika
Ha ha ha .Afu wewe ni pm nakutafuta sana miss tanga
Unasifia kwenuBora ingepelekwa Bukoba najua wahaya wenzangu wangeionyesha dunia nn sisi ni kina nani.
Ubarikiwe mkuu nmeshatokaHa ha ha!!!
Duuuh haya nenda kanisani basi
Ni sawa kbs kwa watu wanaotaka umaarufu bila kujali thamani yaoKinamuweka kwenye media.. Hapotei Anapata mapromo ya kutosha.. Unadhani wanafanya bila mpangilio?
Ni vitu planned.
Mi sio msukuma mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wasukuma bwanaaa!!
mnajifagiliaaaaa!
Sasa umeona bado wapo kwenye gemu? Wameshafutija kwenye jamii yetuNi sawa kbs kwa watu wanaotaka umaarufu bila kujali thamani yao
Nikupe mifano ya Nancy Sumari na Miriam Odemba, je walifanya anayoyafanya Wema Sepetu?
Ni wapi wenye heshima nzuri ktk jamii na duniani?
Skendo za kijinga zinamdhalilisha mtu.
Huyu Mtume mbona yeye ndio alikuwa shabiki mkubwa wa warembo? Usilimshe maneno mjumbe wa Allah."Siku za mwisho mtawaona wanawake wamevaa nguo lakini wako uchi,pia mtawaona wanawake hao wanatembea kwa madaha/mikogo ili kuvutia watazamaji,pia kipindi hicho mtawaona wanawake wana vichwa vikubwa kama nundu ya ngamia.Hao ni wanawake wa motoni,hata harufu ya pepo hawaipata."
Sio maneno yangu,ni maneno ya Mtume Muhammad (SAW).
Star tv nayo ni tv.Mbona star tv live bila chenga
Hahahaha kwa hiyo joketi kapewa elfu 50?Nafikiri bajet nzima ya hili shindano haijazidi shilingi laki 6 za kitanzania
Hahaha nasceen shot nimtumieRed carpet naona ni maronyaronya tu yamevaliwa......,
Wasukuma kuvaa vizuri hawataki kabisa.......
Huyu dada anaetangaza hiyo make up ni liwa kapakwa au.....?......