[emoji23] [emoji23] [emoji23] true machunusi yangu yapo hapo hapo..Hahah wadanganya wenzioeeee...
waache wajikandike ila mimi sipendi kabisa hizo make up zilizokithiri aisee, kukata nyusi halafu unazichora upya, au kuweka kope fake daamn! aaargh...
Hahaha... Acha Uongo mkuu, Arusha hakuna kitu kama hicho.Kweli kabisa umejuaje? Arusha ndivyo ilivyo kukutana na ng'ombemjini sio jambo la ajabu
Atakuwa msukuma huyo[emoji23] [emoji23]Mbaka??
achana nao washamba wa tz haoHahaha... Acha Uongo mkuu, Arusha hakuna kitu kama hicho.
Kama kipo kweli thibitisha ni wapi? Au unajaribu kuitetea Mwanza yako kinamna[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wamasai wengi ni mamiss naturally and MophologicallyHakuna miss hapo... Wamasai na u miss wapi na wapi?
Nimekupenda bureHahah wadanganya wenzioeeee...
waache wajikandike ila mimi sipendi kabisa hizo make up zilizokithiri aisee, kukata nyusi halafu unazichora upya, au kuweka kope fake daamn! aaargh...
Ndio ndio bablai...mtoto wa kimasai anaishi kiuhalisia sio kujikweza kiboyaMtt wa mtaani kbs maeneo ya sakina seven up kwa ndichi
Siku zote mwanaume shabaab au rijali hizo ndizo sehemu anazoangalia ongeza na waliovimba Matiti. Kama wewe ni mmoja wa wale wanaoamini uzuri tabia pole sana.Sasa hawa ni wazuri au wamevimba makalio na miguu.
huyo miss kama sijamwelewa to be honest...
Wamasai wengi ni mamiss naturally and Mophologically
Kumbuka Wamasai sio wabantu, na hawana asili ya minyama uzembe au maumbo manene.
Huwa inatokea tu mistakenly tena kwa hawa wa mijini.
Research yourself.
Utamwelewa tu ucjal.huyo miss kama sijamwelewa to be honest...
Yeah inawezekana akawa anamiss some few stuffs ila nafikiri kikubwa wamemchagua kutokana na uanaharakati wake na projects alizofanya kupinga FGM na mimba za utotoni.Sawa azarel nimekubali, ila tukimuongelea huyu hapa wa jana . Sijamwelewa kabisa. Angalia HE alichoandika hapo juu pia
Sawa mkuu, ila kwani hii ilikuwa ni miss bantu?Siku zote mwanaume shabaab au rijali hizo ndizo sehemu anazoangalia ongeza na waliovimba Matiti. Kama wewe ni mmoja wa wale wanaoamini uzuri tabia pole sana.
Mi nime reply kwa member mmoja alisema bongo hamna wanawake wazuri. Sasa hii comment yako na hicho nilicho reply sijui vinauhusiano gani.Sawa mkuu, ila kwani hii ilikuwa ni miss bantu?
Na wewe ni wa fasi hizi kumbeachana nao washamba wa tz hao
Sawa azarel nimekubali, ila tukimuongelea huyu hapa wa jana . Sijamwelewa kabisa. Angalia HE alichoandika hapo juu pia
Poa mkuuMi nime reply kwa member mmoja alisema bongo hamna wanawake wazuri. Sasa hii comment yako na hicho nilicho reply sijui vinauhusiano gani.
Niliyemquote angesema haya mashindano hayana wasichana wazuri nisinge hangaika kupost zile picha lakini amechukulia collectivelly kuwa bongo haina wasichana wazuri thats y nikamuwekea zile pics
[emoji13] [emoji13] [emoji13]jirani umeamkaje?Usiponichek leo n'takuua, ha ha ha.