Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Hahah wadanganya wenzioeeee...

224175.jpg

waache wajikandike ila mimi sipendi kabisa hizo make up zilizokithiri aisee, kukata nyusi halafu unazichora upya, au kuweka kope fake daamn! aaargh...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] true machunusi yangu yapo hapo hapo..

siwezi kujiremba miyee ht kidogo

wacha tu na lipbalm tena mpk jwa sherehe

hiyo lipstick napaka kwa msimu tu
 
Kweli kabisa umejuaje? Arusha ndivyo ilivyo kukutana na ng'ombemjini sio jambo la ajabu
Hahaha... Acha Uongo mkuu, Arusha hakuna kitu kama hicho.

Kama kipo kweli thibitisha ni wapi? Au unajaribu kuitetea Mwanza yako kinamna[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
achana nao washamba wa tz hao
 
Hakuna miss hapo... Wamasai na u miss wapi na wapi?
Wamasai wengi ni mamiss naturally and Mophologically

Kumbuka Wamasai sio wabantu, na hawana asili ya minyama uzembe au maumbo manene.

Huwa inatokea tu mistakenly tena kwa hawa wa mijini.

Research yourself.
 
Hahah wadanganya wenzioeeee...

224175.jpg

waache wajikandike ila mimi sipendi kabisa hizo make up zilizokithiri aisee, kukata nyusi halafu unazichora upya, au kuweka kope fake daamn! aaargh...
Nimekupenda bure
 
Sasa hawa ni wazuri au wamevimba makalio na miguu.
Siku zote mwanaume shabaab au rijali hizo ndizo sehemu anazoangalia ongeza na waliovimba Matiti. Kama wewe ni mmoja wa wale wanaoamini uzuri tabia pole sana.
 
huyo miss kama sijamwelewa to be honest...

Sawa azarel nimekubali, ila tukimuongelea huyu hapa wa jana . Sijamwelewa kabisa. Angalia HE alichoandika hapo juu pia
Wamasai wengi ni mamiss naturally and Mophologically

Kumbuka Wamasai sio wabantu, na hawana asili ya minyama uzembe au maumbo manene.

Huwa inatokea tu mistakenly tena kwa hawa wa mijini.

Research yourself.
 
Sawa azarel nimekubali, ila tukimuongelea huyu hapa wa jana . Sijamwelewa kabisa. Angalia HE alichoandika hapo juu pia
Yeah inawezekana akawa anamiss some few stuffs ila nafikiri kikubwa wamemchagua kutokana na uanaharakati wake na projects alizofanya kupinga FGM na mimba za utotoni.

Pia msikilize akihojiwa ana points na visions kbs, lbd tu kama watabase kwenye sura.
 
Siku zote mwanaume shabaab au rijali hizo ndizo sehemu anazoangalia ongeza na waliovimba Matiti. Kama wewe ni mmoja wa wale wanaoamini uzuri tabia pole sana.
Sawa mkuu, ila kwani hii ilikuwa ni miss bantu?
 
Mi nime reply kwa member mmoja alisema bongo hamna wanawake wazuri. Sasa hii comment yako na hicho nilicho reply sijui vinauhusiano gani.

Niliyemquote angesema haya mashindano hayana wasichana wazuri nisinge hangaika kupost zile picha lakini amechukulia collectivelly kuwa bongo haina wasichana wazuri thats y nikamuwekea zile pics
 
Poa mkuu
 
Back
Top Bottom