Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

huyo miss kama sijamwelewa to be honest...
Tatizo kubwa alilonalo ni kutojua kutembea kimiss!!kwingine kote yuko vizuri..ila shida ni kutojua kutembea na HighHeels!!

Hofu yangu ni huko mbeleni,itabidi ajifue sana kuhusu kuhusu kutembea Kimiss
 
Sura ni mzuri pia,mwendo utamwangusha
 
huyo miss kama sijamwelewa to be honest...
Ukishaelewa ni kwa nini wanawake wasio na mvuto ndio maboss maofisini na wale masista du wakare wanasota mitaani kutegemea kupinga mizinga wanaume basi utaanza kumuelewa hata huyu miss wetu.
 
"Siku za mwisho mtawaona wanawake wamevaa nguo lakini wako uchi,pia mtawaona wanawake hao wanatembea kwa madaha/mikogo ili kuvutia watazamaji,pia kipindi hicho mtawaona wanawake wana vichwa vikubwa kama nundu ya ngamia.Hao ni wanawake wa motoni,hata harufu ya pepo hawaipata."
Sio maneno yangu,ni maneno ya Mtume Muhammad (SAW).
 
Wasukuma hatuna ulimbukeni wa kuvaa artificial na kuwa kama kikaragosi, hayo tumewaachia nyie na wanaume wenu wa Dar ili wachina wanemeke dada Preta.

Mi sipo Dar nipo Yaeda.......
Ila basi hata muwe mnaenda na fasheni kidogo.......utadhani mlikuwa kwenye graduesheni...
 
Madhaifu ni star tv wameshindwa kuonyesha clear view,ma mc hawajachangamka ni kma hawana uzoefu wa kutosha na kaz hz hawashawish,for sure red carpet wasukuma sisi ni washamba hatujapendeza tumevaa kshamba,pia wasanii wanatembelea back ground na wasanii weng si maarufu hatuwajui.mis tz mwanza imeboa sna
 
Ukishaelewa ni kwa nini wanawake wasio na mvuto ndio maboss maofisini na wale masista du wakare wanasota mitaani kutegemea kupinga mizinga wanaume basi utaanza kumuelewa hata huyu miss wetu.
Well said, nowdays watu wanaconsider what u have in your mind, what vision do you have n not how do somebody look.

Brain & Vision than face n physical appearance.
 
Kwani wametumia vigezo gani jamani?

Maana huyu miss mhhh...


Au basi Masai kawanyoosha warembo wote
 
Kwakweli mpaka sasa Mmasai mjinga na asiyekuwa na akili ambaye nimewahi kutana naye ni Ole Sendeka peke yake, lakini wengine wanafanya vizuri sana kwenye maeneo yao.

Bravo yelo masai.
Ni kweli kabisa.
 
Mrembo kapiga picha kakumbatia mbuzi.. Mara kakumbatia mavi ya n'gombe basi shida tupu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…