Hakunaga matusi mapya dunianiHahaa subiria matusi chief.
Naunga mkonyo hojaKaskazini bhana tunakimbizaga kila kona.
Umemuota anakufanya nini?[emoji6] [emoji6] mbona namimi nnekuota
Kwani Umiss huwa unaangalia vigezo gani? Tuanzie hapo.Kwani wametumia vigezo gani jamani?
Maana huyu miss mhhh...
Au basi Masai kawanyoosha warembo wote
Umemuota anakufanya nini?[emoji6] [emoji6] mbona namimi nnekuota
Kiiiila kona, Politicians, Wanaharakati, Watangazaji wazuri, Wasomi n.k
Alipaswa akumbatie nini?Mrembo kapiga picha kakumbatia mbuzi.. Mara kakumbatia mavi ya n'gombe basi shida tupu..
mambo ya awamu ya tanona mbona ni kama watu hakuna wanavuta muda wajae kiasi lakini muda unasonga watu hawatokei
Haswaaa!!!Wabebez watafutaji (hawajazoea kuhongwa kizembe).....Wapiga kazi.....maapolo.....etc
Kutokana na mazingira yake hajakosea .. Kama wewe msukuma ukienda kupiga picha kwenye daraja la manzeshe unadhani nani atashangaaAlipaswa akumbatie nini?
Tumeotana.[emoji6] [emoji6] mbona namimi nnekuota
Yeye aliyekulia kwenye jamii ya kifugaji akipiga picha amebeba mbuzi/kondoo au hata ng'ombe kama anaweza ni Ajabu?Kutokana na mazingira yake hajakosea .. Kama wewe msukuma ukienda kupiga picha kwenye daraja la manzeshe unadhani nani atashangaa
Mimi nlitaka abebe ng'ombeMrembo kapiga picha kakumbatia mbuzi.. Mara kakumbatia mavi ya n'gombe basi shida tupu..
Sio ajabu mkuu.Yeye aliyekulia kwenye jamii ya kifugaji akipiga picha amebeba mbuzi/kondoo au hata ng'ombe kama anaweza ni Ajabu?
Kwa nini?Mimi nlitaka abebe ng'ombe
Sasa hizo Skendo ni kitu cha kujivunia mkuu?Sio ajabu mkuu.
Ila sasa hivi ni wa dunia hatutegemei apige picha na mavi ya ngombe tena hatutamuelewa..
Sasa hivi aanze maskendo kama kija joket na sepetunga
Kinamuweka kwenye media.. Hapotei Anapata mapromo ya kutosha.. Unadhani wanafanya bila mpangilio?Sasa hizo Skendo ni kitu cha kujivunia mkuu?