Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Wabongo wengi sana wapo instaee.. Jana miss alikuwa na watu 2.1k leo asubuhi ana 7.7k
Duuuh
 
Kinamuweka kwenye media.. Hapotei Anapata mapromo ya kutosha.. Unadhani wanafanya bila mpangilio?
Ni vitu planned.
Ni sawa kbs kwa watu wanaotaka umaarufu bila kujali thamani yao

Nikupe mifano ya Nancy Sumari na Miriam Odemba, je walifanya anayoyafanya Wema Sepetu?

Ni wapi wenye heshima nzuri ktk jamii na duniani?

Skendo za kijinga zinamdhalilisha mtu.
 
Sasa umeona bado wapo kwenye gemu? Wameshafutija kwenye jamii yetu
 
Huyu Mtume mbona yeye ndio alikuwa shabiki mkubwa wa warembo? Usilimshe maneno mjumbe wa Allah.
Eboo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…