Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Teh teh teh teh teh teh mmmmhh si bure utakuwa mdogo wake Mage KimambiMi sipo Dar nipo Yaeda.......
Ila basi hata muwe mnaenda na fasheni kidogo.......utadhani mlikuwa kwenye graduesheni...
Kwani wewe unamwona Wema ndio yuko kwenye game kuliko Nancy Sumary, Flaviana Matata au Mirium Odemba kwasababu tu ya Skendo?Sasa umeona bado wapo kwenye gemu? Wameshafutija kwenye jamii yetu
Suala likikua ni miss Tanzania, hapo suala la mavazi na Mwanza limeingiaje nyie watu wa Dar. ..Mbunge katupia form six yake fresh TU!
Mwanza kwa mavazi bado sana.
We hebu tuachie wasukuma wetu, takuchapa!sana tu
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] hovyooo!!We hebu tuachie wasukuma wetu, takuchapa!
Ngoja nikapike tikiti mie.[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] hovyooo!!
mashamba hayoo!
masukuma!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
msukumaa huyooo!!Ngoja nikapike tikiti mie.
Hii sio miss bantu mkuu.TUPIENI FULL PICTURE TUONE KAMA MISS WETU ANACHURA
Mtani habari? naona umebadili rangi.Ngoja nikapike tikiti mie.
Salama kabisa mtani wangu! Naeksipiriensi ze diferensi mtani.Mtani habari? naona umebadili rangi.
wasukuma sijui mkoje...
masukuma yana ukabila sana
Ndio mana hamjui hata pakuweka R na L
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wasukuma bwanaaa!!
mnajifagiliaaaaa!
Kachunge ngombe uko, unabishana na mm niko zangu napunga upepo wa bahariihilo sio muhimu kwetu. sisi kazi yetu ni kulinda nchi dhidi ya vibaka wa pwani na wale wauza duka
Makonda yuko makini sana na mshaanza kunyooka
Kachunge ngombe uko, unabishana na mm niko zangu napunga upepo wa baharii